Fidel 80 usikatae tafadhali

Kifo cha mende miguu juu.
Fidel nenda mheshimiwa, kilaji kikipanda jihudume aliye karibu yako.

Hahahaha naona mpwa hapa unanionea gele Mungu anipe nini? Gunia la chawa nijikune mwaka mzima? hapana
 
finest nataka nikuulize swali.... huyu loveness naona kafanana fanana na michelle... eeenhee??? ngoja nimshtue damie hapa akae sawa sawa.... afunge na belt... ndege yataka ruka hiyo...

Ha ha ha ha NILHAM hebu cheki na intelijensia yako kwanza lol
 
Hommie hivi inawezekana ilikuwa ni kweli nini
Halaaa hii kitu Live bila chenga home boy hapa ni kumpa support tu huyu mpwa wetu....
Kutakuwa na vinywaji aina mbali mbali? Jamaa angu Kimey anakunywa Gongo lazima nije nae
Akikosa Gongo ulanzi utatake cover.....
Hommie naweza nikakuengua unajua kwenye list ya watakao hudhuria unajua!!
Hommie umeanza kunitenga mie nakupenda ndo maana nakukumbusha tu.....
usije ukamkosa Love the nurse!!
 
Halaaa hii kitu Live bila chenga home boy hapa ni kumpa support tu huyu mpwa wetu....

Akikosa Gongo ulanzi utatake cover.....

Hommie umeanza kunitenga mie nakupenda ndo maana nakukumbusha tu.....
usije ukamkosa Love the nurse!!

Hommie najua kwenye meza yako kuna faili langu sasa nitakuendea hewani baadae maana naona ile kesi inataka kunitokea puani
 
Habari ndo hiyo hapa nahofia wazamiaji tu
Wazamiaji tena!!.......mwambie anitayarishie Safari za moto, ziwe zimekaa si chini ya miezi sita (sitaki bia mbichi mm).
Safari za pale Changarawe ukiifungua harufu mpaka kwa Fr. Goletto.
 
Halaaa hii kitu Live bila chenga home boy hapa ni kumpa support tu huyu mpwa wetu....

Akikosa Gongo ulanzi utatake cover.....

Hommie umeanza kunitenga mie nakupenda ndo maana nakukumbusha tu.....
usije ukamkosa Love the nurse!!

Duh itakua bonge la sherehe yani njooni kwa mpwa wenu ila gongo sasa cjaelewa hakutakua na mashindano ya kupiga mdudu wala panya nisherehe tu kunywa na kucheza so gongooo!!! ngoja nifikirie
 
Back
Top Bottom