FID Q na mapenzi yake kwa Barcelona...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Fid the Don hawezi kuficha hisia zake kwa kandanda safi la Barcelona. Amejipambanua kama mshabiki asiyeyumba wa Barca. Huwa anapata support ya Salama Jabir na Mwana FA. Kila ichezapo Barca ya Messi,hukutana na watabe hawa wa Barca pale Royal Mushi,Mikocheni B...
 
Kijana anaondoa stress za kukosa mkopo

Hah hah hah na kweli, maana JF imekua bora kuandika tu, haijalishi umeandika nini mmh
Mi nadhani haina ulazima wa kila mtu kuanzisha thread bali wengine wabakie wachangiaji tu
 
Wengi wa wachangiaji threads huwa mnavamia majukwaa halafu mnatoa comments za kipuuzi...hili ni jukwaa husika kwa thread husika....FID Q ni musician, so any news concerning him na wasanii wengine kuwekwa katika jamvi hili hakuna makosa....Stop being silly guys, huna cha kucomment off you go wala haitapunguza furaha au stress ulizonazo...
 
Tatizo sio kumwandika Fid Q bali ni kitu alichoandika,sasa mtu anaandika tu 'Fid Q anaipenda Barca' ndo nini sasa?
 
Nani kavamia?
Kumbe na wewe ni wale wale pipa na mfuniko,
Fid anaipenda Barcelona, then unataka waseme nini?
Fid Q mwenyewe katika mashairi yake, kuna sehemu anasema kuna habari na habari za kusisimua, so hii ni habari tu haina nguvu ndio maana watu wanakula chocho, hawaandiki chochote!
Sababu ya kumuuliza kama nae ni Great Thinker ni kutokana na anavyoandika hoja nyepesi, amabazo zaidi mimi naona anajaza server tu
 
Ulitaka aandike anampenda mkeo?, Au kila akiandikwa Msanii unataka aandikwe na skendo Mbaya mbaya, Wabongo bana Ptuuu!
 
Sasa wewe unavyojiita mkare wenu, Ndo nini???, kila kitu tutaanza kuhoji ndo nini...Acha Uboya
 
Ulitaka aandike anampenda mkeo?, Au kila akiandikwa Msanii unataka aandikwe na skendo Mbaya mbaya, Wabongo bana Ptuuu!

Tatizo watu wameathirika na habari mbaya mbaya na wanataka kuwa kila saa ni serious.. mwishowe wanapata vidonda vya tumbo.. mie nadhani sanaa na michezo ni sehemu ya maisha hivo iheshimiwe kama siasa
 
Tatizo sio kumwandika Fid Q bali ni kitu alichoandika,sasa mtu anaandika tu 'Fid Q anaipenda Barca' ndo nini sasa?

hahaha mkuu kuna majukwaa mengine inahitaji uvumilivu tu, unasoma mtu alichoandika usipoelewa unasepa...nenda kule chit chat mtu anaweza akaweka uzi usio na maandishi yoyote zaidi ya alama za viulizo au mishangao na bado watu watachangia lakini kwa uzi kama huo huwezi kuuweka jukwaaa la siasa, elimu au mengine yasihitaji mzaa...tujifunze tu kuvumiliana kwa majukwaa husika
 
Nani kavamia?
Kumbe na wewe ni wale wale pipa na mfuniko,
Fid anaipenda Barcelona, then unataka waseme nini?
Fid Q mwenyewe katika mashairi yake, kuna sehemu anasema kuna habari na habari za kusisimua, so hii ni habari tu haina nguvu ndio maana watu wanakula chocho, hawaandiki chochote!
Sababu ya kumuuliza kama nae ni Great Thinker ni kutokana na anavyoandika hoja nyepesi, amabazo zaidi mimi naona anajaza server tu

Huoni kejeli kama hizi "Kumbe na wewe ni wale wale pipa na mfuniko",ndi zajaza server ndugu?
Kama unaona uzi huuelewi unapotezea tu si lazima kuandika kitu...
Nadhani uannielewa ndugu!
 
Umeandika uzi ili watu wachangie, sasa lazima ukubali kukoselewa!
hichi ulichokiandika hakina maana wala umuhimu humu
 
Wengi wa wachangiaji threads huwa mnavamia majukwaa halafu mnatoa comments za kipuuzi...hili ni jukwaa husika kwa thread husika....FID Q ni musician, so any news concerning him na wasanii wengine kuwekwa katika jamvi hili hakuna makosa....Stop being silly guys, huna cha kucomment off you go wala haitapunguza furaha au stress ulizonazo...

kila m2 akianza kutoa thread za kila msanii anapenda timu gani ulaya patatosha kweli humu!! ..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom