Fid Q atoa kali ya mwaka......asoma hotuba kwa kutumia simu ya mkoni.

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Baada ya Mh. Zitto Kabwe mapema mwa wiki kusoma bajeti mbadala bungeni kwa kutumia iPad...nae Fid Q, Ngosha The Swagga Don kuendeleza mwendelezo wa swagga, alipokua katika tukio la fulani katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski kusoma hotuba kwa kutumia simu ya mkononi!
 
Mambo ya kawaida tu! Wakina drizzy Drake na wengine wengi ufanya pia hivo.
 
Inatokea kuna baadhi ya jambo lazima uanzishiwe kwanza.

Ndio maana kuna mwanzilishi.

Kisha wengine wanafuata, watafuata, na wataendelea kufuata
 
Back
Top Bottom