Ficha heshima

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Kulikuwa na mahojiano kati ya baba na mtoto,
mtoto unamuliza bab'ake sehemu za siri zinaitwaje?
BABA: hizo ni heshima mwanangu.
Siku wakaja wageni mtoto akaleta shida mbele ya wageni ilibidi waulize
WAGENI: we mtoto huna heshima.
MTOTO: Ninayo sana ngoja niwaonyeshe, (akavua nguo), tena ya kwangu ni ndogo ungeiona ya kaka!
Tehe tehe ikawa aibu kwa mzazi.
 
Back
Top Bottom