FFU wazingira ukumbi wa Bunge Dodoma

Sinai

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
288
47
Hali ni tete katika maeneo ya Ukumbi wa bunge Dodoma, Polisi wa kikosi cha kutuliza fujo wametanda kila kona kuzunguka Ukumbi wa bunge kwa hofu ya wanachuo wa UDOM kuzuia shughuli za Bunge, tangu alfajiri njia imefungwa na kulazimisha magari kupita njia mbadala!!!!
 
Nchi ni kama imeanza kufanana na Misri vile.
 
Na bado watatanda sana maeneo mengi maana wenye akili sasa wameamua kusaka haki zao. Mimbumbumbu bado iko CCM ikiendelea kuwaramba miguu huku ikinyonywa na yenyewe haijui haki zao ziko wapi.

Lakini hata hao FFU hawataweza kushindana na nguvu ya Uma.

Napolean Army was the Strongest Army in the World but it was defeated by People. Yes yes People defeated the Army. This will come to pass here as well.
 
Nani kakwambia FFU ni CCM, hawakuwapa kura CCM, masharti tu ya kazi yao, maana naye akigeuka nyuma risasi.:peep:
 
Ndo kazi yao hiyo kutuliza ghasia lakini wanafunzi wana madai ya msingi. Huwezi kusoma miaka mitatu ukamaliza chuo bila kwenda mafunzo kwa vitendo halafu wakaitwa graduates..
 
.................Itafika kipindi hata hao wanajeshi hawatatosha kuzima nguvu ya umma.........
 
Cjajua kwanini humu JF kila kitu kinahusishwa na siasa

we vp? Umeambia ffu wako apo dodoma kwenye jengo la bunge,je bunge ni sehemu ya nini?mama ntilie?gulio?hapana,ni siasa,hata ivo jukwaa la siasa ndo limetumika!
 
Ngoja na mimi nakuja kuwaunga mkono wana mapinduzi ambao walidanganywa
 
Yah! Ban imenipitia lakini nimelegezewa masharti! Kwa walioko hapo mtaa wa Bunge 2peni yaliyojiri mpk majira haya.
 
Na bado watatanda sana maeneo mengi maana wenye akili sasa wameamua kusaka haki zao. Mimbumbumbu bado iko CCM ikiendelea kuwaramba miguu huku ikinyonywa na yenyewe haijui haki zao ziko wapi.

Lakini hata hao FFU hawataweza kushindana na nguvu ya Uma.

Napolean Army was the Strongest Army in the World but it was defeated by People. Yes yes People defeated the Army. This will come to pass here as well.

Napoleon was not deposed through a people power movement. The French Imperial Army was defeated at Waterloo (in present-day Belgium) by a Coalition of Prussian and English armies.

Notwithstanding, you are inversely correct in that it was French People Power which gave Napoleon his Empirial status.
 
Sababu ya msingi waziri mkuu aliwaaidi kuwatatulia matatizo yao.Mbele ya njaa hakuna siasa pale.Waziri mkuu kuwa mkweli ndo suruhisho pale UDOM
 
Back
Top Bottom