FFU wanaenda wapi?

FFU wanawahi kubutua facebook, twitter, blogs na forum.... tatizo hawajaambiwa kwamba hizo hazikai kwenye ukumbi
 
siwashangai polisi kwani IQ yao sifuri kabisa
unategemea mtu wa darasa la saba au aliepata div 4 form 4 na sii kafeli kwa bahati mbaya' anakuwa polisi
atakuwa na maamuzi gani kama sio haya ya kukurupuka tu?? wale ni kama mbwa akiambiwa bweka au ngata yeye anatii bila kuuliza
anaemngata ana umuhimu gani kwake.hajui kuwa hata yeye maslahi yake duni na hajui anaemtibu ndio huyo anadai haki yake.
kweli akili ku mkichwa.
ole wako polisi uniwakie hapa labda uwe na elimu tofauti na nlizotaja hapo juu.
 
kesho kama ingekuwa zamu ya kugoma mapolice wote mali ya Pinda ingekuwa yangu aki ya nan!! ameniuzi sana huyu mtoto wa mkulima, ningechukua gari zake za million mia nane niuze niwagawie madaktari wetu.
 
Back
Top Bottom