FFU wanaenda wapi?

Madaktari kama kweli wanadai milllioni 17 they need a psychatrist from Cuba to examine their heads,mishahara yao ni mikubwa ukilinganisha na ya wafanyakazi wengine,walitakiwa wadai kwa staha na kwa kuzingatia hali ya nchi,wao wakipata milioni 17 ina maana manesi watapata milioni 8,na cleaner wa hospitali milioni 5.trend itaendela kwa idara zote na mwisho wa siku fehd ayetu itakuwa kama ya Uganda enzi za Idd Amini
 
Kama wanachokita ndo kile waziri mkuu alichokiongea jana serikali haitakuwa na uwezo wa kuwatimizia pole yao tuone mwisho wao utaishia wapi.

Ooh masikini ndugu yangu kabla hujauona mwisho wao wa kwako unaweza kuwa umefika! Ama muda huo utakuwa misibani kwa watu waliokufa kwa kukosa huduma hospitali
 
kumbe pinda naye anafikiri kwa kutumia masaburi!!!anaenda kuwapiga virungu lakini baadaye asianze kumwaga mchozi wake wa mamba...
 
Ingelikuwa na kupambana na uhalifu Askari wetu wanafika mapema basi nji hii tungeishi kama Mbinguni!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!!!
 
wacha waje,tatizo lao hawajui kwamba tulitegemea yote haya na tukayajadili kiundani ndo maana tumetulia kimyaaaaa....kinachofuata ni kuanzisha birthday partys za wanachamma wa mat tuwe tunajumuika kufanya sherehe na siyo mkutano.aluta continua
 
Ha ha ha ha serikali inachekesha... siku hizi mkutano sio lazima watu wakutane uwanjani,ukumbini au barabarani

Madaktari mgomo kuanzia sasa uko online kwenye mitandao jamii.. kila kitu online-mikutano mpaka maandamano online

walipue fibre optic labda
 
kumbe pinda naye anafikiri kwa kutumia masaburi!!!anaenda kuwapiga virungu lakini baadaye asianze kumwaga mchozi wake wa mamba...

mkwr kamuingiza choo cha 'keki' na yy kajaa mazima ... cjui kwann hakuliona hili! halafu akirudi anamruka kwamba hakuacha maagizo hayo ... duh! mkwr ni nouma!
 
Siamini kama maneno ya PM kuwa wanadai walipwe m17 ni kweli. Hapa alikuwa anapandikiza mbegu ya chuki na fitna. Kwani madaktari hawajaweka wazi madai yao? Kwa nini tusiyasikilize kupitia serikali? Mimi simumini pinda
 
unanikumbusha miaka kidogo ya nyuma Dr. Salmini alipolipiga marufuku gazeti la Majira kwenda Zanzibar, alivyotonywa na 'wasaidizi' wake kuwa watu wanasoma kwenye internet ndio akakurupuka na kusema "na hiyo internet tutaipiga marufuku"!
Kazi kweli kweli
Ha ha ha ha serikali inachekesha... siku hizi mkutano sio lazima watu wakutane uwanjani,ukumbini au barabarani

Madaktari mgomo kuanzia sasa uko online kwenye mitandao jamii.. kila kitu online-mikutano mpaka maandamano online

walipue fibre optic labda
 
Hivi huna ndugu yeyote anaye belong katika pauper class? Manake comments zako zinaashiria ukoo wako wote ni member wa elite class: ikulu, benki kuu, na balozi zetu huko ughaibuni basi. Na hivyo unaridhika na status quo

FF hana lolot, she is just an iddle mind
 
Upuuzi wote huu na bado tunajivuna Tanzania tunayo democracy. Democracy my foot! Democracy bila freedom of assembly and expression si unafiki tu.

Tatizo tunajifananisha na Congo, Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya. Vichekesho welikweli
 
viongozi wa hii nchi wanatumia polisi vibaya,wanawapeleka hata sehem isiyohitaji polisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom