FFU wamwagwa Arusha kulikono???

madrid

Member
Nov 20, 2011
86
8
Naomba kuuliza swali makamanda wenzangu.

Arusha hivi tunavyoongea kuna FFU wa kumwaga kutoka huko walikotoka,sasa swali linakuja hapa,ni upendo wa serikali kutuongezea ulinzi cause labda kuna tetesi za kutokea kwa fujo mahali fulani au labda ni maandalizi ya tuliyoyazoea????

wamepiga kambi oljoro na njiro na kila siku wanafanya mazoezi.
 
Kampeni zinaanza kesho! Ma******i yameshabana Ch*****p hiyo yoote ni kwaajili ya People's Power!
 
Back
Top Bottom