Elections 2010 FFU na Kuelekea Uchaguzi Mkuu....

Mtu66

Senior Member
Jun 26, 2007
165
3
Haya ni matumizi yasiyokuwa ya lazima ya FFU
FFU.JPG

Watanzania wanaoneka wana amani
kabisa

IMG_4457.JPG

Askari hata hawaoni umasikini
unaowazunguka...
angalia hayo mabati
IMG_4447.JPG

Uchafu hawauoni
Ila raia wema wenye kiu ya
Kumsikiliza Dr. Salaa
FFU2.JPG

Nalaaani matumizi ya FFU
yasiyokuwa ya lazima
 
Iringa wakimzuia Dr. Slaa kuhutubia ...walikuwa wanatawanya raia wema tu
 
Back
Top Bottom