FFU kibao hapa Polisi - Ufundi!

Nadhani pia polisi wajipange zaidi kesho kwani kunaweza tokea fujo kubwa zaidi. maana katika misikiti ndipo vikao vya nini kifanyike ndipo vitakapokaliwa.
 
Warioba was right bila katiba mpya nchi itakuwa pabaya 2015. Mimi nasema tayari nchi ipo pabaya.
 
Nachukia na kupinga matendo na uharibifu wa amani, mali na mahusiano unaofanywa na waislamu wasio itakia mema nchi yetu. Lakini najiuliza swali kifo au kuuliwa kwa Waislam 1,000 kitatusaidia nini ww binafsi.
 
MIMI NIMEPISHANA NA HILI.........KOO LIKANIUMA SAAN SAA NANE HII

IMG_3947.JPG
 
wamezoea kuvaa magauni ndo maana yanawatoa akili kazi kupigana na kushinda misikitika bila sababu wangekwenda shule yote haya yasingekuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom