FFU kibao hapa Polisi - Ufundi!

rajoh

Senior Member
Jun 2, 2011
174
142
Nimepita hapa polisi ufundi kuelekea Jitegemee. Nimekuta magari ya kuwasha manne yanajazwa mafuta pamoja na defender 6 ambazo zote zimejaa FFU. pia hapa jitegemee round about nimekutana na Defender 4 nyingine. Sijajua kama leo kuna mikakati yoyote ya wafuasi wa Shekhe Ponda kufanya kitu au la! Wenye taarifa zaidi tujuzeni ili tufahamu kinachoendelea.
 
ni ktk majukum yao ya kawaida kulinda raia na mali zao.intelijensia inawataka kuwa tayari wakati wote.
 
Kama mbwai mbwai jua moto kuni watu sikutishi mji haufai wamasai hawawindi simba wanasuka dada zetu
 
Kazi kwelikweli, jana kamanda Kova anasema hakuna aliyejuu ya Polisi. Anamtaka hata msaidizi wa shehe Ponda ajisalimishe mapema...
 
Tatizo ni kwamba hii chuki ikiachiwa kuwa endelevu na vurugu zikaendelea, kuzimaliza itakuwa kazi sana. Hata Rwanda walianza hivihivi kuwekeana chuki na hatimaye mauaji ya kutisha. Busara ya kumaliza chuki hii inayokua inahitajika.
 
ndani ya wiki moja hadi sasa polisi wawili wapeuwawa na wananchi
acha tufike kule walikokuwa wanataka tufike "when peacefully means iz failed the uses of armies struggle iz inevitable the uses"........Samora Machalle
 
Nashangaa uhuni wooote wa waislamu pale mbagala tena mbele ya polisi lakini hakuna muislamu hata mmoja aliyeuawa....nilitegemea kuwa kama polisi wanaweza kuua wafuasi wa cdm tena bila kuletewa fujo yoyote na kuua mwangosi hadharani kabisa basi nilitamani nisikie waislamu at least 1000 wameuawa.....hapa kuna mshikamano wa polisi, kikwete na waislamu


Duh, ndugu 1000 wengi sana. Punguza angalau kidogo!
 
haaahaaaa yaani ponda anawakimbiza na gari zote hizo loh
haya amatatizo ameyalea mwenyewe serikali mwache na mwisho aingie ikulu kabisa..aliaribu tangu mwanzo
wa mwembechai wakaa kimya akaaribu tena wakaamwonea huruma sasa wanaseam ukicheza na nguruwe ataingia na wewe msikitini ndicho anachofanya ponda
 
Maeneo hayo uliona magari ya polisi ni kambi na makazi ya polisi,sasa hivi wameshtuka kwamba kila tukio linapotokea linakuta wao hawajajitayarisha.!!!!
Askari wapo katika utaratibu wa kazi na majukumu yao.!!!
 
haaahaaaa yaani ponda anawakimbiza na gari zote hizo loh
haya amatatizo ameyalea mwenyewe serikali mwache na mwisho aingie ikulu kabisa..aliaribu tangu mwanzo
wa mwembechai wakaa kimya akaaribu tena wakaamwonea huruma sasa wanaseam ukicheza na nguruwe ataingia na wewe msikitini ndicho anachofanya ponda

Ponda akiingia Ikulu kuwa rais, nadhan tanzania itabadilika na kuwa kama Saud Arabia. Lakini nyufa hii inatakiwa kuzibwa mapema iwezekanavyo. otherwise mambo yatakuwa si mambo.
 
Ila nadhani fujo hizi zinaweza kuwa zinachochewa na kikundi flan nje ya nchi.

Uko sahihi kabisa. Si umemsoma yule sheikh wa Zanzibar anakiri kwamba gari anayodai imeshambuliwa na watu wasiojulikana siyo ya kwake bali amepewa kwa ajili kazi aliyopewa?? Hii ina maana hawa wapo kwa ajili ya kuwafanyia kazi watu wa nje pengine na wa ndani ya nchi ambao hawaitakii mema nchi hii.
 
Maeneo hayo uliona magari ya polisi ni kambi na makazi ya polisi,sasa hivi wameshtuka kwamba kila tukio linapotokea linakuta wao hawajajitayarisha.!!!!
Askari wapo katika utaratibu wa kazi na majukumu yao.!!!

Ni kweli mara nyingi wanakuwa hawajajitayarisha. mfano mzuri ni tukio la jana Zanzibar. fujo zimeanza saa sita na askari wamefika saa 8.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom