Elections 2010 FFU Convoy On Mandela Road

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Jamani eh, tuhabarishane.

Nimepishana na msafara wa FFU wakiwa 'kamili'. Askari, gari la maji ya upupu, binduki.

Walioko kwa Mnyika au kwa Mdee watujuze zaidi.
 
Haiwasaidii, sis tumeshayajua matokeo!!!

Wanaingiza jeshi mtaani kabla ya Tume kutangaza, ili kudhibiti uchakachuaji...

Matokeo tunayajua Jaji Makame... Acha hizo...
 
pishilia mbali,,tafadhalini askari mliotumwa hatuhitaji vurugu lenu
na chochote kinachotia mashaka lazima wanainchi wakifatilie

tukubaliane na matokeo yoyte tu ya halali
 
Be careful guys...hii kitu tusiingizie doa kwa kuwapa nafasi hao majeshi ku-act. Amani tumeilinda mpaka dakika hii hivyo tuendelee hivi na don't act stupid. Wote waliokuwa na profiles mbaya tayari wamekwisha kuwa fired kwa kura yako hivyo take it easy. No fujo no fujo.:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Haiwasaidii, sis tumeshayajua matokeo!!!

Wanaingiza jeshi mtaani kabla ya Tume kutangaza, ili kudhibiti uchakachuaji...

Matokeo tunayajua Jaji Makame... Acha hizo...
Jamani kwa majimbo ambayo ni confirmed, tafadhali mwageni data hapa; tutawatumia kwenye simu zao za mkononi ili wajiulize kama amri walopewa ni sawa kuitii au la! Natumai watachanganya na za kwao kisha watachukua uamzi sahihi! Weraaaaaaa Weraaaaa!
 
I hope the police are just taking care of the whole situation. I don't think they can act stupidly this time.
 
Inatakiwa ifike kipindi askari wetu watumie akili si kila kitu amri'Watuache na Nchi yetu tunapenda Amani ' wakaombe mech Afganistan lol .PEOPLES POWER
 
I hope the police are just taking care of the whole situation. I don't think they can act stupidly this time.

Polisi ya Bongo haitabiriki mkuu. Ni kama jibwa tu likiamrishwa na bwana wake ana'act tu.
 
Mimi sidhani kama wana nia mbaya au ni uchakachuaji wowote ule....................tuwape faida ndogo ya kuaminika............
 
Back
Top Bottom