FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

Mmhh! Mimi nafuatilia bba, sidhani kama kahamishia mapenzi bali naona wote wawili wana vutiwa na kila upande, kama unakumbuka fedha alimwambia big kuwa amependa kujiamini
kwa oneal tangu siku ya kwanza, pia wamekuwa wakipigiana vote za crush date! Kiasi oneal kuwaomba wenzie nxt wk wampigie fedha bila kujua jana angetia maguu Rubies! Back to Elikem, feza alishasema hawezi kudate mtu wa umri wa chini yake! Ndo kisa cha elikem kujiweka kwa Fatima! Ila mm naamini kama kweli anapenda basi roho yake iko kwa Feza! Si pokello wala fatima. Nando aliomba kwa dilish na mtt akatoa nje. Vikaisha peacefully. Hata kwenye presentation yake alisema hawezi kumchukia demu kwa kumnyima cookies zake!! All in all jana feza kaniboaaa! Ndo nn kujilewesha vile sasa? Yaani I waz big fan of her, alinifanya nibadiri mtazamo wangu juu ya mamiss wetu ila jana kanifanya nimtazame upya kabla sijampa support yangu kwa 100%! Eishh yaani hana soni kbs! Anaongea kupita kiasi, anafakamia mipombe utasema hajawahi kunywa?. Ilitakiwa jana asiingie hata kwa jaquzi! Anywe kiasi ili asome mazingira! Naamini oneal atakuwa amefadhaika sn, ukizingatia jmosi alivopanda palee juu na kucheza kama lap dancer!! Sidhani kama j3 atapona nomination for possible eviction.

kiukweli hii kutu siipendii, huyu mmiliki angeligeuza haya mashindano ya big bro, waende wanafunxi wakaonyeshane au kushindana kitaalumaa kwa maana ya kimasomo ingesaidia xaaana kuliko hii, anyway ni mtixamo tuu, kweny jamii mambo kama haya yapo na washabiki wake wapo humuhumu kweny jamiii
 
Kuna watu mna muda wa kufuatilia upuuzi sijawahi ona, uMagharibi una tuponza waTanzania wenzangu.
 
We vp...the show is rated 18...haujalazimishwa kuangalia...kama unataka kuona wanafunzi wanashindana angalia skonga uko..
 
Kuna watu mna muda wa kufuatilia upuuzi sijawahi ona, uMagharibi una tuponza waTanzania wenzangu.

Kila mtu ana interest zake...unaweza ukawa unapenda kunywa pombe na mi nikakuona unapoteza mda vilevile...so usiseme tunapoteza mda...tunaangalia kwa interest zetu...
 
Kuna watu mna muda wa kufuatilia upuuzi sijawahi ona, uMagharibi una tuponza waTanzania wenzangu.

Kama wewe tu ulivo na mda wa kufuatilia upuuzi wetu.. umeikuta thread haikuhusu ukawashwa ukaanza kusoma comments na kuchangia so na ww mpuuz tu...
 
Kama wewe tu ulivo na mda wa kufuatilia upuuzi wetu.. umeikuta thread haikuhusu ukawashwa ukaanza kusoma comments na kuchangia so na ww mpuuz tu...

Dume zima linafuatilia upuuzi,,,matatizo ya kukaa na dada zako hayo angalia au ndo K.K.B?
 
Dume zima linafuatilia upuuzi,,,matatizo ya kukaa na dada zako hayo angalia au ndo K.K.B?

We dogo sio kila mtu anasubiria selection ya form 5 baada kusaidiwa kufaulu na serikali kama ww.. Nna degree yangu toka 09 Ninalipa kodi ya nyumba nna kaz yangu, ni mfanya biashara pia nna usafiri wangu nalipia dstv premium fee na ni mpnz mkubwa wa soka na reality series BBA inludin, ninapo kua kwangu naangalia nitakacho nakula nitakacho nafanya chochote nitakacho mpuuzi km ww huna msaada wowote kwangu na ndio maana unafuatilia mambo ya watu yasiyo kuhusu.. Unalingine?
 
Nando MESHAKULA MZIGO KWA SELLY, UWIIIII DAKIKA 15 NZIMA MTOTO YUKO ULINGONI TU......Selly anasema basi nando alishakipata alichokitaka so nini kifuatacho???
 
Betty OUT. huyu betty alikuwa akiwachukia waTZ(feza na nando).bora katoka. Bolt yeye ni next week zamu yake. ningefrahi kama wangetoka wote wawili betty &bolt
 
Back
Top Bottom