Fever ofisi mpya...!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,105
2,499
Hivi ukiambiwa kesho unatakiwa ufike ofisini saa 3:00 asubuhi, huwa hutokewi na ile hali ya fever fever fulani hivi? yaani huu ndo ugonjwa wangu hasa ikitokea kwa ofisi mpya kabisa maana nikifikiria jinsi mazingira ya ofisi yalivyo mapya kwangu na sheria zake huwa napatwa sana na fever, lkn nikizoea aaaah mswano kabisa, sijui kwanini hili linanipata sana!
 
Nyie ndo mnao bana kazi vijana wasipate,. Kutwa kubadilisha ofisi,. Lizikeni bwana huo nao ni ufisadi wa kuamahama ofisi
 
Back
Top Bottom