Festus Makerubi wa TBC1 na Mbwembwe Zake

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,456
20,709
Baadhi yenu huyu Brother sio mgeni kwenu.Wale mnaofuatialia mziki huu wa kusifu na kumtukuza mungu nadhani mnamfaham zaidi.Jamaa anamudu vizuri sana kipindi chake hasa anapochombeza na zile mbwembwe zake za kuigiza nyimbo za waimbaji, ukijumlisha na kile kisauti chake kinacho enda sambamba na kicheko chake.Nampongeza kwa hilo.Ila kuna wakati flani nahisi kama anapitiliza,mikogo inakuwa mingi sana mpaka anaboa,akianza kusifia jambo atasifia mara mbili mbili mpaka inakuwa kero.akianza kucheka ndio usiseme atacheka weeeee....... anyways huo ni mtazamo wangu tuu sijui wa kwenu wadau.
 
Uko sawa kabisa, ni mzuri anamudu kazi yake. lakini wazungu wanasema ana-over do. Kila kitu lazima kiwe na kiasi. Arekebishe hilo tu, otherwise he is good.
 
hahahaahahaaaa!!!
Nyie bana.
Mi huwa namuona kama amefuta bange mbichi. Kumbe wenzangu mnamuona anapatia!!??!! Duh!!
labda ka-mywife kake kanamwambia anapatia.teh teh teh.
 
Mi nashauri atofautishe style ya kutangaza katika vipindi. Sioni tofauti anaposhika kipindi cha Tumwimbie Bwana na kile cha Zamadamu. Vicheko ni vilevile, mtiririko wa sauti ni uleule, mbwembwe na sifa ni za aina ileile. Mabadiliko ya style humvutia mtazamani, akawa na hamu ya kuendelea kuangalia/kusikiliza - bila kuchoka au kuwa bored. Nadhani inawezekana, au?
 
Wengine wanasema anatoa coverage kubwa kwa dhehebu lake mengine anabania

Hapo nadhani ndio anapokosea.anatakiwa kutoa haki sawa kwa madhehebu yote na sio kupendelea sana RC peke yake.BTW alikuwa ni mwanakwaya wa RC kanisa la Mwenge sijui kama bado anaendelea.
 
Nyie mmefanya mazuri gani yanayowavutia wengine? Watu wengine ovyo kabisa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom