Ferguson F2620LVD 26in LCD TV ina matatizo naomba msaada !!!

mwakyoma2011

Member
Mar 10, 2011
17
0
icon1.png
msaada tafadhali natanguliza shukrani


nina tv yangu aina ya
Ferguson F2620LVD 26in LCD TV

lakin kila niki play video kwenye ile screen naoan picture motion ina chelewa ku respond yaani sauti ina sikika fresh xema motion ya picture inakua iko slow sana !!!! naomba msaada wenu jaman......
also ina2mia adapter yenye volt 12 ampia 4.5 mm na2mia adapter yenye volt 12 ampia 3 aliwez likawa tatizo
 
ni tatizo kwn umeme ni mdogo ndo mana inzingua jaribu kuwa na adapter ambyo wao wamesema
 
natumaini hiyo video unaplay kupitia dvd player, sio? na unapoangalia tv inafanya hivyo hivyo? huenda dvd player ndio yenye tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom