Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

Wakuu tunataka undani wa hawa jamaa, maana ndio wametufanya maskini sisi na watoto wetu na wajukuu. Tusiposimama imara tumekwisha.

What is behind the shadow? Mkapa + Ruhinda + Chenge (Balali) = JK + Rostam + CCM /UFISADI ..............Huyu ni Mwenzetu, Lazima tuserve face!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
He is back, the shadow.. hivi hawa jamaa hawajui hata wanaposhtukiwa?

DAILY NEWS Reporter
Daily News; Tuesday,August 19, 2008 @00:03

# Ruhinda appointed TBC board chairman
President Jakaya Kikwete has appointed Ambassador Ferdinand Ruhinda as the board chairman of Tanzania Broadcasting Corporation (TBC). According to a statement issued yesterday by the Ministry of Information, Culture and Sports, the appointment follows the amendment of the law establishing the corporation.

Meanwhile, the Minister for Information, Culture and Sports, Mr George Mkuchika has appointed seven members of the board, headed by Ambassador Ruhinda. They are Mr Salvator Rweyemamu, Dr Robert Mgombelo, Prof Mwajabu Possi, Mr Dominic Mahundi, Mr Kassim Mpenda, Ms Agnes Bukuku and Mr Hassan Mitawi. The board mandate ends on March 13, 2009. Ambassador Ruhinda, a veteran journalist, served as Tanzanian ambassador in China, Thailand, Cuba and Canada.
 
Last time nilikutana na Fisadi Ruhinda somewhere in Dar alikuwa akilalamika kuwa waandishi wa habari wanachochea habari za uongo kuhusu Mkapa na akawa anatafuta namna ya kudeal nao! Trace zake zimepotea karibuni!

Bi Mdogo.. made the right call!! mwe JF mnanipa raha!!! It looks like our man has found his way after his so well circulated attack on several individual including Kikwete. Yes, I know it was him. Mtuunge mkono Watanzania the battle has been elavated, when these voices of ours fall silent...(for surely they will)... sijui kutakuwaje huko mbeleni!!!
 
He is back, the shadow.. hivi hawa jamaa hawajui hata wanaposhtukiwa?

DAILY NEWS Reporter
Daily News; Tuesday,August 19, 2008 @00:03

# Ruhinda appointed TBC board chairman
President Jakaya Kikwete has appointed Ambassador Ferdinand Ruhinda as the board chairman of Tanzania Broadcasting Corporation (TBC). According to a statement issued yesterday by the Ministry of Information, Culture and Sports, the appointment follows the amendment of the law establishing the corporation.

Meanwhile, the Minister for Information, Culture and Sports, Mr George Mkuchika has appointed seven members of the board, headed by Ambassador Ruhinda. They are Mr Salvator Rweyemamu, Dr Robert Mgombelo, Prof Mwajabu Possi, Mr Dominic Mahundi, Mr Kassim Mpenda, Ms Agnes Bukuku and Mr Hassan Mitawi. The board mandate ends on March 13, 2009. Ambassador Ruhinda, a veteran journalist, served as Tanzanian ambassador in China, Thailand, Cuba and Canada.

Huyu Ruhinda mwenyewe sasa hivi ni bed ridden.Amezunguka dunia nzima kujaribu kutibiwa lakini imeshindikana,ame paralyze kuanzia kiunoni kwenda chini

Sasa huyu kiwete kweli anachaguliwa ili afanye nini hasa? Wakati dunia inakimbilia kwenye maendeleao sisi tunaendelea kubeba mizoga. Kwa kweli WTZ ni watu wa kuwaonea huruma tu nothing else. Huu mzoga tulionao sijui tutawezaje kuutua.
 
Tuliweka hapa jina lake na tulishasikia dalili za huyu jamaa kurudishwa madarakani na kwanini arudishwe.. na sasa imetimia. Tanzania viongozi hawastaafu, they are just recycled.
 
kama taarifa za kuumwa ni za kweli,na bado karudishwa Madarakani...basi tuna kazi kubwa huko tuendako...
 
Mkimchagua kiongozi fisadi hamjui kwamba ndege wa aina moja huruka kwa bawa moja. Mafisadi wataendelea kushika nyadhifa na madaraka katika hii nchi, na watz amtaendelea kuwalipa
 
Jasusi,

Ina maana wakiniteua mimi kijana kuwa mwenyekiti wa hiyo bodi kweli TBC haitofanikiwa?.
Tunahitaji mawazo mapya jamani.

Jaribu kujadili ukizingatia unanifahamu mimi ni nani in a real life.

Asante
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Sijui ni jipya gani FR ataleta katika uendeshaji wa TBC. Tunahitaji damu mpya, lakini si unajua hizi bodi ni ulaji tu, wanapeana kwa kujuana?
 
Ruhinda ameingizwa ili kuweza kushiriki katika kusimamia utekelezaji wa sheria mpya ya vyombo vya habari. Sitoshangaa akapewa nafasi kwenye ile bodi itakayoundwa ya kusimamia fani ya Habari kutokana na wadhifa wake huo mpya TBC. Hawa jamaa wanacheza kama chess hivi...
 
Tatizo ni kuwa wananchi wanajua moves zao zote za mbeleni, hapo ndo utajua kuwa wanacheza vibaya!
 
FP... mtu akianza kusoma thread hii tangu mwanzo ataona kuwa this was coming; mapema mwaka huu nilipata anonymous email mtu akiuliza huyu mzee yuko wapi? akasema ni kiungo kikubwa sana kati ya mafisadi. Huyu ndugu akaenda mbele zaidi na kutukumbushia suala la Wahashi...
 
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Tuesday,August 19, 2008 @00:03

Ruhinda appointed TBC board chairman.

President Jakaya Kikwete has appointed Ambassador Ferdinand Ruhinda as the board chairman of Tanzania Broadcasting Corporation (TBC). According to a statement issued yesterday by the Ministry of Information, Culture and Sports, the appointment follows the amendment of the law establishing the corporation.

Meanwhile, the Minister for Information, Culture and Sports, Mr George Mkuchika has appointed seven members of the board, headed by Ambassador Ruhinda. They are Mr Salvator Rweyemamu, Dr Robert Mgombelo, Prof Mwajabu Possi, Mr Dominic Mahundi, Mr Kassim Mpenda, Ms Agnes Bukuku and Mr Hassan Mitawi. The board mandate ends on March 13, 2009. Ambassador Ruhinda, a veteran journalist, served as Tanzanian ambassador in China, Thailand, Cuba and Canada.

..naam, timu imekamilika. tunasubiri mechi sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom