Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

Mimi juice yangu ya machungwa yaliyokamuliwa kwa mkono, huku nikisubiri picha kamili obvious huyu mtu atakuja siku moja kusema ukweli maana sasa kila siku mambo yanaibuka.
 
mwanakijiji, umeanza kugusa ambako wenzako hawajathubutu. Huyo jamaa (Ruhinda) ana mikono mingine na huweza kufika popote. Tembea kwa uangalifu.


Bi senti, Pole mama naona hukati tamaa kuwajenga woga watu wanapogusa watu fulani fulani, labda nikukumbushe tu, hata mzee wa Kasungura/Air Uchumi ilikuwahivi hivi.. Hiyo mikono mingine unayo isema haigopwi.. heri na pona itakuwa pale tu kama hana madudu nyuma yake! vinginevyo ni kumkoma giledi mchana kweupeeee!
 
mwanakijiji, umeanza kugusa ambako wenzako hawajathubutu. Huyo jamaa (Ruhinda) ana mikono mingine na huweza kufika popote. Tembea kwa uangalifu.

.....hakuna kubabaisha watu hapa........walipolala wao wengine ndio walishaamkia huko....huyu mzee wa Kayanga hana cha kumbabaisha mtu....JF at work and unstopable.......watch out!!
 
Tukimaliza Ruhinda afatie Yusufu Mushi maana ni mmoja wa makuadi na madalali wa Mr Clean,,kwa ufupi hawa jamaa ndio wanamiliki Phoenix House pale ilipo NMB na kampuni moja ya kitapeli ya insurance halafu wako pia kwenye madudu ya Mwananchi Gold mining....mnabisha shwauri yenu
 
Mwaga data za kutosha sio unatutishia, hivi NMB House inamilikiwa na watu wengine sio NMB. lile jengo tu lilirudisha pesa ambazo makaburu walinunulia NBC Ltd
 
naona unaongeza spid ya kua na post nyingi,,,shauri yako,,uliza vizuri lile jengo umiliki wake ukovipi,,,Usiwachezee mafisadi mdogo wangu
 
Tukimaliza Ruhinda afatie Yusufu Mushi maana ni mmoja wa makuadi na madalali wa Mr Clean,,kwa ufupi hawa jamaa ndio wanamiliki Phoenix House pale ilipo NMB na kampuni moja ya kitapeli ya insurance halafu wako pia kwenye madudu ya Mwananchi Gold mining....mnabisha shwauri yenu


..una data kaka...huyu tunamuita ..BEHIND THE SCENE!!
 
..ferdinand Ruhinda Yupo Mjini Na Ni Retired Kwenye Active Business ..zaidi Ya Kula Faida Kwenye Hisa Zake Chache Voda ,mwananchi Na Kwingine....

Unapoongelea Marafiki Personal Wa Mkapa Unamtaja Huyu Foremost..na Wengine Ie Mushi Na Marehemu Wakili Mapunda....bado Yupo Mbezi ..na Kwa Kuwa Wote Ni Retired ..basi Huweza Kutumia Hadi Siku Nzima Mbezi Wanakunywa Whisky...au Weekends Huko Lushoto....wakikumbushana Mambo Yao Ya Ujana,...

Bado Ferdinand Pia Amebakiwa Na Kampuni Yake Ya Pr Management Yenye Ofisi Pale Jm Mall..though Hajihusishi Saana Na Uendeshaji Wa Siku Hadi Siku....ni Kama Kakijiwe Kake.....
 
Mkuu MMJ,

1. Huyu Ruhinda, originally alikuwa foreign na Mkapa, walikuwa marafikia wakubwa sana, lakini huyu mkulu hakuwa rafiki wa kweli ni opportunist,

2. Huyu hawezi fika nyumbani kwa Mkapa, maana mama hamtaki kabisa, kwani anajua kuwa ni kwa huyu mkulu ndiko alikuwa akikutania na yule hawara mama Rweyemamu,

3. Huyu ndiye aliyetumika na mtandao kumshinikiza mkulu kumpitisha mgombe wao, ndiye aliyepewa lile "Faili" na ule mgawo,

4. Miaka miwili kabla ya uchaguzi Rostam, alimvuta kule kule Vodacom, kama director wa bodi mshara wa shillingi millioni tatu kwa mwezi, ambako pia alikuwepo na Msekwa,

5. So smart opportunist, kwamba ndiye aliyekuwa pia PR manager wakati kampeni ya muungwana, licha ya kuwa pia ya Mkapa, na ni huyu ndiye aliyemtosa Ulimwengu kutoka kwenye kampeni ya pili ya Mkapa,

6. Sasa hivi hayumo tena ndani, lakini kila masilahi ya mkapa yalipo anayo percent, hana shida tena, na ndiye hasa anayejua yote yaliyojiri behind the scene, kwenye Mkapa na uchaguzi wa rais wa 2005, maana Kigoda was the intended name, lakini ni huyu Ruhinda ndiye aliyekuja kubadili mambo, wiki tatu kabla ya kwenda Dodoma,

7. Na mpaka leo ndiye the mastermind behind all the spin za mtandao na muungwana, Yes I said it hata Salva lazima aripoti kwa huyu kwanza, kabla ya kusema lolote serious!

Ahsante Wakuu.
 
let me give you another line..

"JF - The News behind the Newsmakers!"

How about this line:
JF ni kama kundi la wananchi wenye hasira, kila mtu na silaha yake humtupia kibaka na kummalizia mbali...

Na hivyo ndivyo ilivyo.... wewe angalia mifano ya michango mbali mbali katika mjadala huu.
 
naona alikuwa anajua anachozungumzia...

Except kwenye hiyo corruption,.... he missed by a mile.
Hiyo 'Privatation' he was right on the mark. This goes to show that this individual was indeed right there in the kitchen. How he missed the 'glare' that attends to such a high profile position, that is the riddle. This probably was the intended approach.
 
Nyani anakomwa giladi mchana kweupee...Mkuu FMES hapo umemaliza! Next up huyo Yusuf Mushi huyo!
 
Mkuu FMES,

heshima sana kwako Mkuu.
Kazi umeimaliza.You made my morning.This is JF!!
 
Kwa hivyo yawezekana kuwa hii ndiyo "axis of corruption"

Mkapa
Chenge
Ruhinda
Rostam

1. Chenge hakuwemo kwenye deal ya urais na mtandao, in fact alimuhakikishia muungwana in his face kuwa hatakuja kuwa rais wa bongo, never!, yeye ana dela zake personal na Mkapa,

2. Mkapa, Rostam, na Ruhinda wana dela zao tofauti, lakini wote wana one thing in common, ni mafisadi wa taifa letu.
 
Mkuu ES,kweli unatusaidia sana sisi young generation,kujua details za viongozi na other influential people ktk hii nchi yetu.
Umenisaidia sana kujenga positive perception juu ya mbunge wangu ambae japo nilimpigia kura,sikujua sana historia na ngazi alizopita hadi leo ni waziri!He is truly an inspiration.
Before,sikua naona anything special out of Malecela,but ua arguments concerning him,made me see how important he has been to the development of our beloved country.
Keep it up mkuu.
 
Mkuu ES,kweli unatusaidia sana sisi young generation,kujua details za viongozi na other influential people ktk hii nchi yetu.
Umenisaidia sana kujenga positive perception juu ya mbunge wangu ambae japo nilimpigia kura,sikujua sana historia na ngazi alizopita hadi leo ni waziri!He is truly an inspiration.
Before,sikua naona anything special out of Malecela,but ua arguments concerning him,made me see how important he has been to the development of our beloved country.
Keep it up mkuu.

Hey Beautiful...how is it going?
Welcome aboard...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom