Felix Mkosamali: Mbunge mdogo (24yrs) toka NCCR, apata ushindi 97.72%

Infact huyu ni role model kwa vijana wa umri wake na wadogo/wakubwa kake
kila kitu kinawezekana ukimtanguliza mungu na ukajitambua kijana wa TZ
 
Radio ya Chuo cha sauti ilifungiwa kwa sababu vijana wake au wanachuo wanaharaki za mageuzi aliitumia kutoa elimu ya uraia,mbunge wa sasa Mhambwe -Felix Mkosamali mwanachuo.ALIYEMALIZA hapo chuoni na alikuwa rais wa wanachuo Mbuge aliangusha mbuyu masha pale mwanza nyamagana.

Mkuu, tulia basi uandike vizuri maana sentensi zako zimeungana hadi tunakosa ujumbe sahihi.
 
Haa haa nimefurahi kitu kimoja tu katika habari hii

kua alikua chadema na akatangaza kukihama chadema. Jee kwa nn alikihama chadema ?

Chama makini eeh ?
 
Kijana mdogo kuliko wote,miaka 24 tu,mwanafunzi wa chuo cha SAUTI MWANZA mwaka wa 3 sheria kashinda ubunge kwa asilimia 97.72%.
ANAREKODI TATU
1.Mdogo kuliko wote
2.Kashinda kwa asilimia kubwa
3.mwanafunzi:israel::israel::israel::israel:
NI Felix Mkosamali kwenye Jimbo la Muhambwe KIGOMA NCCR-MAGEUZI
:israel::israel::israel::israel::israel:
Aliingia NCCR-Mageuzi Februari 19, 2010. Aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) wakati akiwa likizo fupi ya chuo na kutangaza rasmi kuwa amerudisha kadi ya Chadema na kuhamia NCCR,Hilikuwa adhina ya cha cha chadema.
Hii habari sio kweli. Mkosamali alishinda lakini sio kwa asilimia 97. Amepata kura 25574. Jamal Tamimu (CCM) amepata 15223, Arcado Ntagazwa (CHADEMA) amepata 2033 na Athuman Masoud (CUF) amepata 487. Sasa hio asimilia 97 imetoka wapi?
 
safi sana kijana... ! sasa vipi kuhusu shule..? atajigawa vipi? ila heshima kwake.. record nzuri! nafkiri kwa africa mashariki na kati
 
Si kweli kwamba ameshinda kwa 97.72% . Hebu someni kipande hiki "Akizungumza na HABARILEO , Tamim ambaye alipata kura 15,141 huku mshindi wa jimbo hilo, Mkosamali akipata kura 25,391 akiwa amezidiwa kwa tofauti ya kura 10,250." Sasa kwa tofauti hiyo ya kura haiwezekani awe ameshinda kwa 97.72%.
 
Promo ya Act tz ilikuwa kazi ya Zzk
 
Bravo! Hata michango yake mjengoni ni mizuri sana, keep it up dogo, that is how history is made!
 
hivi kwa nini vichwa vyote vikali huwa vinahama chadema? mkosamali, kafulila, machali....??
 
vipi jamaa atashinda mwaka huu?

Atashinda.

Sababu yupo UKAWA,tuseme hakuna daftari jipya la wapiga kura atapata hivi

Za kwakwe Kura 25,574
za CDM 2,033
za CUF 487.
Tukiongeza na asilimia 60% waliosusa kupiga kura kwamba watampigia kura Mkosamali basi atapata Kura za UKAWA 28,094 x1.60=44,951 ya kura zitakazopigwa.

Kwani CCM watapata kura 15,141 x 1.6=24,226 ya kura zote zitakazo pigwa.Hii ninaweka waliosusa watajirudi na kupiga kura.
 
Atashinda.

Sababu yupo UKAWA,tuseme hakuna daftari jipya la wapiga kura atapata hivi

Za kwakwe Kura 25,574
za CDM 2,033
za CUF 487.
Tukiongeza na asilimia 60% waliosusa kupiga kura kwamba watampigia kura Mkosamali basi atapata Kura za UKAWA 28,094 x1.60=44,951 ya kura zitakazopigwa.

Kuna dogo mmoja wa ccm naona anajipigia kampeni facebook yaani kelele nyingi
 
Back
Top Bottom