feeling lonely but not alone

Hapana TT, amini usiamini wako wengi sana ndani ya ndoa wana hali kama hii na kamwe haisababishwi na uzembe wao.

thanks nafikiri malezi yetu yametunyima kwa kiwango kikubwa kusema ule ukweli uliopo moyoni watu wengi wapo radhi kuendelea kugugumia na maumivu mioyoni kuliko kutibu majeraha yaliyopo mioyoni mwao.ndio inafikia mahali wengine wanachinja wake/waume watoto yote hii ni misongo ya mawazo.
 
kupenda kupo vipi kuhusu uhusiano wenu upo kwenye hali gani je mnashare same feeling au mwingine anapanda na mwingine anashuka.hii haiwezi kukufanya kujisikia mpweke.

Hii ni kweli kabisa na inatokea kwa wetu wengi sana bt people pretend tu
lakini lazima kuwe na reason behind,its very hard to feel lonly kama ukiwa na mpenzi unayempenda kwa dhati na wakati wote
 
Whwn you feel lonely even if you're in marriage, the answer is that you are married to a wrong person!!! If you can't undo your marriage, just learn how to live with that situation.
ups and down ni mambo ya kawaida sana kwenye ndoa, sie binadamu hatujakamilika labda awe ameshushwa kama mkate mana!
 
thanks nafikiri malezi yetu yametunyima kwa kiwango kikubwa kusema ule ukweli uliopo moyoni watu wengi wapo radhi kuendelea kugugumia na maumivu mioyoni kuliko kutibu majeraha yaliyopo mioyoni mwao.ndio inafikia mahali wengine wanachinja wake/waume watoto yote hii ni misongo ya mawazo.

kweli kabisa.Kwenye hili swala la kutoambiana ukweli hili tujirekebishe ndio kosa letu kubwa lipo.

Ni vizuri sana kuambiana ukweli hata kama mmoja atakasirika lakini atapata nafasi ya kujirekebisha na kusaidia relationship kuendelea kwa amani.

Kuambiana ukweli inasaidia sana kwenye mahusiano.
 
bado kuna kazi kubwa jaribu kuchunguza mara nyingi mwenzio anapojaribu kusema ule ukweli wengine ndio mwanzo wa mahusiano kufa,gubu,mihasira isyoeleweka,kumpa na safari ya kushinda na marafiki badala ya kufurahia inaweza ikawa ndio mwanzo wa kutibu matatizo yenu.

kweli kabisa.Kwenye hili swala la kutoambiana ukweli hili tujirekebishe ndio kosa letu kubwa lipo.

Ni vizuri sana kuambiana ukweli hata kama mmoja atakasirika lakini atapata nafasi ya kujirekebisha na kusaidia relationship kuendelea kwa amani.

Kuambiana ukweli inasaidia sana kwenye mahusiano.
 
Chauro.... i am sure loneliness is all but gone:A S embarassed: :A S embarassed:
 
have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:

Chauro mpaka umeanzisha thread!! Si bure!
Pole mamito but know that you are not alone in this kind of situation!

Take heart, find something to keep U busy, invest ur time to your family. Itapita
 
Whwn you feel lonely even if you're in marriage, the answer is that you are married to a wrong person!!! If you can't undo your marriage, just learn how to live with that situation.

tyhats not the answer, to be lonely sometimes happens coz were not the same, him/her is not you so u cant agree on everything and he/she cant satsfy u all the time. sometimes u need time alone.
 
asante bro dah umefukunyua mbali kweli nawashukuru kwa ushauri wenu maana kila siku ni shule kwangu.
Chauro.... i am sure loneliness is all but gone:A S embarassed: :A S embarassed:
 
dada nashukuru jf imekuwa mwalimu wangu mzuri kwa mwaka huu kila siku ni darasa najitahidi sana kufuata yale yanayofaa kwa ushauri wako na wengine naamini mwisho nitapata matunda mazuri kupitia kwenu mbarikiwe sana.
Chauro mpaka umeanzisha thread!! Si bure!
Pole mamito but know that you are not alone in this kind of situation!

Take heart, find something to keep U busy, invest ur time to your family. Itapita
 
asante bro dah umefukunyua mbali kweli nawashukuru kwa ushauri wenu maana kila siku ni shule kwangu.

hujajibu hoja bado.... upweke umeisha??

kigali wanasemaje, maana nimesikia ulikua rwanda na kaka kiiza
 
Mi nikijiskia lonely nachukulia muda huo ku-reconnect with myself. Kukaa sana na mtu changes you in more than one way. unakuta kuna baadhi ya vitu huvipendi ila kwa sababu anavipenda basi na wewe unavikaribisha, au unavipenda ila unajilazimisha kuviacha sababu havipendi. (na hii process inaweza kumfanya mtu kua empty of what was you, and full of what people want you to be)
When you are by yourself ndio wakati wa kuchuja hivyo vitu vyooooote, na kurudi Chauro mwenyewe.

have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
Am not old enough kujua mambo ila kutokana na udadisi wangu ni kwamba kuna vitu kama income crises , relationships problem ni vitu vinaweza kukufanya uwe mpweke sana . but kama hivyo vyote viko sawa then its like kuna vitu ama kazi umekuwa unazifanya with alot of passion , so your unconscious mind it needs u 2 be rewarded for your efforts . and this reward is nothing but the BEST SEX with satisfaction. after that ur batries will be recharged . if that wont help u am sorry , ila nina uhakika wapo watu wenabusara na maarifa zaidi yangu hapa janvini kama akina Lizzy watakusaidia zaidi. Happy new year.
 
hahahaaaa wajukuu wako wamenizunguka basa kitu visusio na mitori kwenda mbele mengine tuyaache nitayaleta baada ya kurudi toka rwanda.
hujajibu hoja bado.... upweke umeisha??

kigali wanasemaje, maana nimesikia ulikua rwanda na kaka kiiza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom