Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

Unyang'anyi miaka 30 jela hamna msamaha. Sijui kutishia kuua ni miaka mingapi jela.
Sawa Ila Charges Hapo Sijasikia Wakisema Jaribio La Kuua. Wamjumlishie Yote Na Matukio Aliyoyafanya Mwanzo Apotelee Huko.
 
Acha kupotosha umma ww l,uniform sio kielelezo cha ukamataji kwamba lazima uvae uniform. wanaohusika na masuala ya kihalifu ni askari wa CID na Ant-Robbery huwezi kumkamata mhalifu kirahisi ukiwa na uniform cha msingi ni kufuata tu taratibu za ukamataji ikiwa ni pamoja na kujitambulisha na kuonesha identity yako.
 
Kisheria when attacked or provoked hutakiwi kuretaliate iyo ni kazi ya vyombo vya dola. Nadhan ndio maana watu wabugurun walisita kumchukulia hatua.

Pia kisheria ni polisi pekee yake mwenye uniform ndie anahusika kumtia nguvun mtuhumiwa.
Polc wenyew wanamwogopa kipindi chote hicho wanataarifa walishindwa nini kumkamata kipindi chote hicho
 
HV makonda anafanya kazi clouds FM? maana naona kila kitu pale hata Leo pamoja na efm kufanya campaign kubwa ya mti wng lakini recognition imepewa clouds.
Huyu ni mkuu wa media daresalama...
Yn kila siku yeye ni matukio ya redioni tu...hivi anatembelea kujua ustawi wa jiji saa ngp
 
Kosa La Unyang'anyi Wakati Alipania Kuua?
Hawa Waendesha Mashtaka Waache Ujinga. Hilo Ni Jaribio La Kuua Apigwe Maisha Kabisa.
Na ikiwezekana pia na yeye ang'olewe macho yote ili aonje utamu wake.
 
Back
Top Bottom