Feedback mbwa mlinzi

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu heshima mbele
nilifanikiwa kupata mbwa jike bado kigoli kabisa shukurani ziwaendee MKUU NGULI JABALI, PARACHICHI na wengine weengi natafuta jina la kumpa cjapenda nilomkuta nalo anaitwa VAN najua wakuu mtanisadia kupata jina zuri.

pia natafuta mwl wa kumfundisha nikitulia nitaweka picha yake hapa ni mkubwa kabisa nataraji ataingia heat mda si mrefu
 
hongerasana mkuu kwa kupata Mbwa jike, mm napendekeza jina la MBWA ni zuri kwake
 
Jenny is a nice name for a femal dog. (Samahani kina Jenny, Si kwa ubaya lakini...)
 
Nafarijika mzee angalau vibaka watapungua kwa sasa, Mungu akijalia wakizaa utakuwa na mbwa 3 ambao ni standard. Watu ambao hawaishi maeneo korofi au ambao hawajawahi kuvamiwa mbwa akawaokoa hawawezi kuona umuhimu wa kuwa na mbwa. Na hawathamini mbwa wengine wakiona mbwa wanawapiga na kuwafukuzia mbali.
 
nikweli kabisa mkuu na ninaamini watu wangezingatia hili kila m2 akafuga walau mbwa 2 naamini kabisa polic we2 wangekuwa na mda wakufanya kazi nyingine za maendeleo mana wasingeletewa kazi ya kufatilia ishu ndogo ndogo zinazofanywa na vibaka,wadokozi mtaani
 
wakuu heshima mbele
nilifanikiwa kupata mbwa jike bado kigoli kabisa shukurani ziwaendee MKUU NGULI JABALI, PARACHICHI na wengine weengi natafuta jina la kumpa cjapenda nilomkuta nalo anaitwa VAN najua wakuu mtanisadia kupata jina zuri.

pia natafuta mwl wa kumfundisha nikitulia nitaweka picha yake hapa ni mkubwa kabisa nataraji ataingia heat mda si mrefu

mtoe kizazi fasta kabla hajazaa unless kama unapenda azae. Good luck
 
mkuu nimtoe kizazi? vinauzwa au? huu ni ukatili kwa wanyama na watu wa haki za wanyama cpendi kugombana nao mkuu napenda azae na kuongezeka ili niuze watoto angalau nirudishe pesa na faida najua na ww utakuwa mteja akizaa na nitatoa ofa maalumu kwa wana JF wote watakao hitaji mbwa ila akitimiza vigezo na masharti ya kuwa na geti tu.
 
Haina shida kama unapenda azae. Mie nikiwa na paka au mmbwa fasta namtoa kizazi ili asizae halafu pa kuwapeleka sina. Na akiwa kwenye heat ni matatizo tu kama huna dume. Ni ushauri tu na watu wa haki za wanyama wameridhia kuwatoa kizazi kuliko wazae wajazane then inakuwa kero kuwatunza na inabidi wauwawe.
 
ooh nimekumanya mkuu safi sana me napenda azae mkuu alafu umenifungua ufahamu sikujua kama majike nayo yanahasiwa nilijua ni madume tu kweli JF utajua mengi thanks
 
akizaa tu nitwangie PM nije kumchukua.ni breed gani,tuwekee picha Mkuu
mkuu nimtoe kizazi? vinauzwa au? huu ni ukatili kwa wanyama na watu wa haki za wanyama cpendi kugombana nao mkuu napenda azae na kuongezeka ili niuze watoto angalau nirudishe pesa na faida najua na ww utakuwa mteja akizaa na nitatoa ofa maalumu kwa wana JF wote watakao hitaji mbwa ila akitimiza vigezo na masharti ya kuwa na geti tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom