Feedback is very important!!! (mrejesho ni muhimu sana!!!)

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Enyi wadau wa sub-forum hii ya technology ni vizuri tukawa tunajulishana kama solutions mbalimbali zilizotolewa na wadau humu zimesaidia kutatua matatizo husika. Kwa mfano kama ulikuwa na tatizo la kifaa cha kutofanya kazi kisha ukashauriwa ufanye kitu fulani (umepewa solution), basi ni vizuri ukatuletea feedback kama kifaa chako kimepona au la! Ni ushauri tu wadau.
 
naunga mkono hoja kwa 100% yani tunabaki hewani tu watu wanaendelea kutoa ushauri kumbe mtu alishafanikiwa kaamia kwenye jukwaa la mapenzi mpaka apate shida tena ndo anakumbuka jukwaa hili
 
kweli umeongea

ila kutoa thanks kwa hoja iliyosaidia more thanks inafanya hivyo pia sio lazima kuandika kila mtu

au?
 
kutoa thanks kwa kubofya ni nzuri ila kama uliombaa msaada ukapewa jibu na ulipofanya likakubali basi sema nilifanikiwa
 
its true hata mimi imenisaidia sana jamii forums hili jukwaa kwenye swala la technolojia so its better tuwe tuna reply
 
kutoa thanks kwa kubofya ni nzuri ila kama uliombaa msaada ukapewa jibu na ulipofanya likakubali basi sema nilifanikiwa

Nilimaanisha kama hivi ulivyosema dr phone, ni vizuri tukajua kama shida imetatuliwa au la.
 
naunga mkono hoja kwa 100% yani tunabaki hewani tu watu wanaendelea kutoa ushauri kumbe mtu alishafanikiwa kaamia kwenye jukwaa la mapenzi mpaka apate shida tena ndo anakumbuka jukwaa hili

na huko kwenye jukwaa la mapenzi hakosi kutoa feedback... achilia mbali kupost everyday...
 
poa mkuu ukigonga thnx inakuwarecorded vp we ujawai kusaidiwa hapa jamvini nitatembelea jukwaa dr ujue nimekuwateja na jukwaa hili

mimi nilisha wahi saidiwa sana na wote walio nisaidia huwa lazima nigonge thaannxxxxxxxx
 
Umuhimu wa hiyo batoni ni pale unaposhukuru ya kuwa tatizo lako limefanikiwa. maforam ya zamani kulikuwaga hakuna hicho kitufe, na watu waliokuwa wanasaidiwa walikuwa wanaandika hoooooray senkyu, it worked senkyuuu, Well done na kuendelea yaani kama ni solution basi utakuta page tatu ni hayo senkyu yanajirudiarudia. ndo ikabidi hizi senkyuu za kuandika zirahisishwe na kuwekwa kitufe. ile thread iweze kueleweka. maana unaweza ukafungua page ya tatu unakutana na "thanks for the info"" thx" page nzima, unarudi nyuma ni "Oh! you are number one thanks", "thanks dude",Mkuu imekubali ahsante, unarudi nyuma ni hivyo hivyo sasa hata unakuwa huelewi thread ilikuwa na mada gani. nafkiri tutumie hicho kitufe cha Thanks ili thread iweze kusomeka vizuri. Itasaidia vilevile kuweka topic iliyotoa hiyo solution kuonekana vizuri kuliko kukutana na hayo ma senkyuu yaliyojaza page nzima. Nawaomba na Ma mods wawe makini katika hili.
 
no comment mkuu
 
Back
Top Bottom