FEED-BACK ina maana gani kwa kiswahili??

FEEDBACK....MRISHO NYUMA and FEED FORWARD.......MRISHO MBELE, : Maneno haya mawili hutumika ktk Management Control.... Feedback likimaanisha uangaliaji wa shughuli za kiutawala ili kujua mwenendo wa shughuli zinavyoendelea kwenye organisation au kampuni huku ukilinganisha na malengo yako. feedforward hii inakuwa ni shughuli za uzalishaji zinapokuwa zinaendelea basi unafanya monitoring na kutoa taarifa kwa panapohusika ili kuendelea kulekebisha mambo yenyewe..., Ni maneno mawili kama tunavyoweza kusema Summative evalutaion .... na .. formative evaluation kwenye mambo ya Kiproject... UMENISOMA....
 
Back
Top Bottom