Fedha za safari za JK zaibwa na watendaji

Teh teh teh. Walikuwa wanasafisha ghala ili pesa mpya zije kuanzia Julai mosi. Hapo ni win/loose

Wangelikuwa wanasafisha kwa kuzileta katika huduma za jamii, tungeliwaona wa maana Sana.

Lakini wanasafishia katika matumbo yao!!!!! mmmmhhhhhhhh!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
wewe ukimwaga mboga na mimi namwaga ugali. Kila siku mkulu wetu ni kigulu na njia huku akitumbua mapesa yetu. Ni bora kuiba pesa hizo ili zibakie hapa hapa nchini kuliko kutumika huko nje ya nchi.
 
Bila kuachana na hii kitu mabadiliko hayatapatikana

523706_423657364311072_277877558_n.jpg
 
Huyu naye aliyekuwa ktk ofisi hii ametangaza nia lakini hajasema hili suala liliishaje
 
Fedha za safari za JK zaibwa

MAOFISA watano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kuiba fedha zilizotengwa "kwa ajili ya safari za rais," MwanaHALISI limeelezwa.

Taarifa za uhakika zilizopatikana ndani ya ikulu na wizara hiyo, zimesema kwamba maofisa hao, akiwemo Mkuu wa Itifaki, walifanikiwa kuchota Sh. 3 bilioni "kutoka benki moja nchini."

........................................................................

Source: Gazeti la Mwanahalisi:
Aaaah Kubenea wee, huu utumwa wa kalamu kutumikia mabwana wako kwa malipo ya unyapala kumkashifu Membe itakufikisha wapi Mkuu wangu. Ama kweli ipo sababu ya kuweka Cyberbill kwa watu kama hawa maana sasa UNAFIKI umekuwa nje nje..
 
".............kalamu ya mwandishi ni kitu cha kuogopwa sana na wanasiasa hasa pale linapokuja suala la kufichua maovu, wengine hujiona kama wanaonewa na kuchonganishwa kwa wananchi wao.........."
 
".............kalamu ya mwandishi ni kitu cha kuogopwa sana na wanasiasa hasa pale linapokuja suala la kufichua maovu, wengine hujiona kama wanaonewa na kuchonganishwa kwa wananchi wao.........."
Mkuu unakuwa kama huishi Bongo, yaani taarifa za kuchovya kama hizi ndio chanzo cha kupitishwa Cyberbill itakayo tuathiri sote hapa JF kwa sababu mtu unalipwa kuandika vitu ambavyo sio vya kweli na vinapotosha. Kama Kubenea ni mkweli ebu mwabieni aandike lolote dhidi ya Lowassa halafu ndio tuijue nguvu ya kalamu..
 
Lakini sheria ipo wazi, endapo kama una uhakika kuwa mtu fulani anakusingizia kwa uongo taarifa mbovu. Kwa nini usimfikishe katika vyombo vya Dola?????

je, kubenea hayupo hapa nchini.

je, Kubenea yupo mbingunio ambapo haonekani au kufikishwa katika vyopmbo vya Dola???

Kuanzishwa kwa sheria ya Kandamizi ya vyombo vya habari, ni katika kuficha maovu yao.

Wananchi wa Tanzania siyo wale wa enzi za "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..... ZIDUMU FIKIRA SAHIHI ZA MWENYEKITI WA CCMM......"

Leo wote ni waelewa ingawa tunasomeshwa katika shule za kata ambazo hazina vitendea kazi. Lakini wahitimu wa shule za kata ndio watakaoiondoa CCM madarakani.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Aaaah Kubenea wee, huu utumwa wa kalamu kutumikia mabwana wako kwa malipo ya unyapala kumkashifu Membe itakufikisha wapi Mkuu wangu. Ama kweli ipo sababu ya kuweka Cyberbill kwa watu kama hawa maana sasa UNAFIKI umekuwa nje nje..

Je hakuna ukweli kwenye hili?
Clement yule wa Wema (by then) kwa nn alihamishiwa ofisi za wakala wa ndege za serikali kutoka idara ya uhasibu ikulu?

Usifanye watanzania ni wajinga kama ujinga wako!
 
Aaaah Kubenea wee, huu utumwa wa kalamu kutumikia mabwana wako kwa malipo ya unyapala kumkashifu Membe itakufikisha wapi Mkuu wangu. Ama kweli ipo sababu ya kuweka Cyberbill kwa watu kama hawa maana sasa UNAFIKI umekuwa nje nje..

Je, na zile tuhuma za ESCROW zilizowakumba vigogo wa IKULU ni pia UNAFIKI au unyapala au Utumwa wa kutuma kalamu??????

Tafakari!!!!!!!!

IKULU haiwezi kujisafisha, tunajua kuwa imeoza kwa Ubadhirifu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kubenea ni malaya wa kitaaluma

Hapana unakosea sana ndugu yangu.

Huyu labda useme ni Malaya wa Kufichua UOVU wa CCM na serikali dhaifu. maana yake hatulii sehemu moja kila kona anawaingilia tu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kwahiyo mtalii hatornda kufanya utalii wa nje saiv au ndio itabidi wakope NssF
 
Back
Top Bottom