i beg to differ! Hapa Arusha meru wanalipa kwa kila kilometa buku moja frm ulikotokea kwa m2 wa shahada! Xa cjui huko ulipo weye buku tano ni kwa wenye masters au??Wanapewa,kama bachelor utalipiwa mizigo isiyopungua tani 1na nusu,na kuisafirisha kila tani kutoka pale ilipotoka buku 5.
Wanapewa,kama bachelor utalipiwa mizigo isiyopungua tani 1na nusu,na kuisafirisha kila tani kutoka pale ilipotoka buku 5.