Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 918
asante nguli kwa taarifa. hapo lazima kuna biashara imeishafanyika. OMG, hivi sasa mwisho wa haya ma-minyororo ya ufisadi utakuwa lini? jamani mie nimechoka hata kusikia sasa sitaki tena, khaaa! ujinga gani huu? halafu waziri mwenyewe wa fedha karudishwa yuleyule ili akamilishe kazi aliyoianza! gavana utasikia kesho kabomoa nyumba yake anajenga nyingine ya mabilioni!! jamani TZ tunatia huruma jamani mpaka basi!