FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

tuna pengo kubwa kule nyuma. mi naona jana Diego Alves alikuwa njema kuliko Ter. hata ile penalty chupuchupu ainase.
Kudaka penalt ni kubahatisha bana-hakuna ufundi wa kudaka penalt-Goalkeepers wote wana dive kabla haijapigwa alaafu anaomba God akutane nao-ndio maana wengine umlenga keeper because wanajua lazima ata dive left or right
 
  • Thanks
Reactions: PNC
jana nilikuwa nacheki rekodi za makipa laliga 2015-16 za stegen siyo vutizi kabisa. alicheza mechi 7 na kuruhusu goli 7. Bravo alicheza 32 na kuruhusu 22. kwa uwiano huo Stegen angecheza 32 angeruhusu goli 32. Bravo alipigiwa mashuti 104 na kuokoa 84, ni kama 80% stegen alipigiwa 20 na kusave 13, kama 65%. katika mechi 7 ana cleansheets 2 wakati bravo ana 15 kwa mechi 32. kwa huo owiano stegen angecheza mechi 32 angekuwa na kama cleansheets 9 tu. ukilinganisha Navas, Oblak, Bravo na stegen, Stegen yuko kiwango cha chini sana. kwakweli tuna tatizo la kipa.
umeongea kitu cha maana japo Jackline atamtetea
 
Game over. ATM kafa
si mwendo mdundo, one down one to go.

6spi1.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mtoto mdogo(Messi) kamvua nguo baba yake mdogo(Pep) hadharani....hahahah king leo

hivi uyu Mathiue si aondoke ata kwa mkopo January...simuelewagi kabisa mimi
Mkuu huyu Mathew simpendi kwa kweli lkn sema kwasaizi wakiumia wengine kama hayupo itakuwa shida sana, siunaona kule kulia tunapata shida mpaka macherano anaenda kucheza kisa hatuna replacement ya sergi!!! Alex Vidal wa uonga sana nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom