kuna kamnyama fulani kakauzu, kiingereza wanakaita honey badger.
BlackPanther Jaqline Cossovoman Monasha Good96 Ibrah404 Aleyn Chebi Red Giant otterhound mpo wapi BARCELONA TUNACHINJA HUKU
Mambo safi mkuuBro mambo? Sie tupo bro na barce yetu mwendo mmoja, tumuombee La pulga apone, akamback akiwa fiti kabisa.
Mambo safi mkuu
Inabid Messi apone haraka ili ladha iongezeke
La kunifurahisha mtaa wa pili hali si shwar kwani waliposhangilia KING kuwa majeruhi huku mtu wao anazid kuvurundaYess bro ndio ivyo, mesi ndie anaibeba tim kiujumla.haters wamefurahia lkn soon tutamuona huyu hapa.
Hawa Las Palmas ni team ya kuiangalia kwa jicho la pili msimu huu aisee
Mkuu ucwaze sana zama youtube angalia magoli halafu tukutane jumatano UJERUMANI
Poa @ pnc, tuko pa1
Sergio ni mashine kali aisee cheki hapa;
35 passes, 74%
2 assists
4 chances created
4 key passes
5 crosses, 3 accurate
8 tackles, 7 won
2 blocks
2 dribbles
La kunifurahisha mtaa wa pili hali si shwar kwani waliposhangilia KING kuwa majeruhi huku mtu wao anazid kuvurunda
Hawa Las Palmas ni team ya kuiangalia kwa jicho la pili msimu huu aisee
Msimu uliopita walitutoa ulimi nje hawa watoto ,wakitulia wanakuwa vizuri sana
Msimu uliopita walitutoa ulimi nje hawa watoto ,wakitulia wanakuwa vizuri sana
hawa ni wazur ila sio kwa maajabu hayo ila wakipelekwa EPL lazma wabebe ndoo zoteSaana! Ila wasije wakafanya maajabu kama Leicester wakabeba na ubingwa hawa watoto nawaogopa aise...
hawa ni wazur ila sio kwa maajabu hayo ila wakipelekwa EPL lazma wabebe ndoo zote
Uko sahihi mkuuKabsaa..we unafikiri kuna timu pale! zote uchwara tu, timu ambayo naipa nafasi kubwa ya kutwaa vikombe pale ni man city tu chini ya pep, hao wengine wasindikizaji tu.