FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Manutd Vs Inter Milan....
Utaona 'majungu' yatakavyo anza kupigwa hapo btn SAF na Mourinho..!

Time of Revenge!!, kama kuna mechi zilizowai nikosesha mlo wangu wa asubuhi ni ile Manutd Vs Porto, Costinha anatutungua dakika za Majeruhi, siku hiyo nilijuta why did i fall in love with 'soccer", guess this time ni zamu yaooo!

...ha ha ha...

Manda, wish you all the best, lakini Mourinho mnh!...

haya, ngoja nikanywe chai mimi... am soooo happy!

Go the Gunners, Go!!!
 
Chelsea - Juventus
Villarreal - Panathinaikos
Sporting - Bayern
Atletico Madrid - FC Porto
Lyon - Barcelona
Real Madrid - Liverpool
Arsenal - Roma
Inter - Manchester United
 
Mi nilitaka ManU tupangwe na Madrid but i wish timu zote za England zitapita but Chelsea kazi mnayo
 
Mi nilitaka ManU tupangwe na Madrid but i wish timu zote za England zitapita but Chelsea kazi mnayo

mnalo hilo!!! "uliombalo hupati, wapata ujaliwalo!":D

head to head, Jose Maourinho Vs Alex Ferguson

played 12

Mourinho won 6

Fergie won 1

Draw 5

Mourinho ana "mental" advantage over Man U ya Fergie!!!
 
...ha ha ha...

Manda, wish you all the best, lakini Mourinho mnh!...

haya, ngoja nikanywe chai mimi... am soooo happy!

Go the Gunners, Go!!!

Mimim nasubiri 'jungu' tu zianze kupikwa 'coz Mourinho huwa anaanza kukufunga kwanza Nje ya Uwanja kwa maneno, uwanjani akumalizia tuu!

Robo fainali kila mechi inakuwa ngumu, no any opponent can be taken for Granted ila I guess kwamba kwa timu za England ni Manutd tu so far tuna uhakika wa kupita.(kauli yangu sii futi na sitakimbia jukwaa)
 
mnalo hilo!!! "uliombalo hupati, wapata ujaliwalo!":D

head to head, Jose Maourinho Vs Alex Ferguson

played 12

Mourinho won 6

Fergie won 1

Draw 5

Mourinho ana "mental" advantage over Man U ya Fergie!!!

Rekodi as Far as Manutd they are concerned plus kuwa hii ni CL haina nafasi hapa, Mourihno hana chake this time...nawahofia the Gunnaz, najua mshakataa tamaa, msifikiri SABA bila zahivi hivi...for your own sake consult us!
 
Mi nilitaka ManU tupangwe na Madrid but i wish timu zote za England zitapita but Chelsea kazi mnayo

Usijali Mkuu, ao na wenzake wawili(Liva na Ze Gunnaz), mda si mwingi watabaki kutushangilia sisi...just wait..!
 
Mourinho niliyekuwa namuogopa ni yule wa Chelsea sio wa INTER ,ule ushindi wa Porto bahati ilikuwa yao
Itakuwa mechi kali ndani na nje ya uwanja,
Arsenal wamepata vibonde washindwe wenyewe
 
European champions Manchester United and rivals Liverpool were handed mouth-watering ties against Inter Milan and Real Madrid in the Champions League last 16 today.

Manchester United will face Inter Milan in a tie that will see Jose Mourinho return to Old Trafford for the first time since leaving Chelsea.

Mourinho's old club have been handed a tie against Juventus, currently trailing Inter in second place in Serie A, and coached by another of their ex-managers, Claudio Ranieri.

A third Anglo-Italian tie will see Arsenal visit Rome, the venue for the final in May, as they take on Roma.

Liverpool, meanwhile, will face Juande Ramos' Real Madrid. Real, a club repeatedly linked with Reds boss Rafael Benitez, have won the tournament a record nine times.

Full draw:

Chelsea v Juventus

Villarreal v Panathinaikos

Sporting Lisbon v Bayern Munich

Atletico Madrid v Porto

Lyon v Barcelona

Real Madrid v Liverpool

Arsenal v Roma

Inter Milan v Manchester United

Ties to be played on February 24 and 25 and March 10 and 11.
 
Sikupenda Jose Mourinho atolewe mapema kiasi hiki.
Serie A hakuna la maana, even with Jose (kama Manda, I bet my neck that Inter are surely out)
 
20 Things To Expect From Italy v England
1) Cristiano Ronaldo says that he is better than Pele and Diego Maradona, and compares himself to God.

2) Jose Mourinho bangs on beforehand about how his Chelsea side were better than United, and that his record against Fergie is Won 6, Drawn 4, Lost 1.

3) Sir Alex Ferguson will use the words "No doubt about it" at least 100 times, while he will mention during an interview with SKY Italia about how good Luciano Spalletti's wine is.

4) Wayne Rooney does a Zinedine Zidane and headbutts Marco Materazzi in the chest after the Italian snipes that he would "rather NOT have Rooney's mum".

5) Mourinho runs down the Old Trafford touchline to celebrate a last minute goal that puts Inter into the next round.

6) Ferguson engages in a furious touchline row with Mourinho over the award of a throw-in, and lobs his chewing gum onto the pitch in disgust.

7) Manchester United fans sing "same old I-Ti's, always cheating", even though Inter don't have a single Italian in their team.

8) Claudio Ranieri laughs hysterically during both of his pre-match interviews in the tie against former club Chelsea.

9) Ranieri gets a better reception at Stamford Bridge from the Chelsea fans than Luiz Felipe Scolari.

10) English commentators tut-tut about Italian diving shortly before Didier Drogba goes down like he's caught the plague.

11) Momo Sissoko to have the best pass completion rate...for Chelsea. "Camoranesi... Nedved... Del Piero, back to Nedved, now Sissoko, oh he's played it straight to Deco!! Deco, Lampaaaaaaaaaaaaaaaard GOAL! Chelsea lead!"

12) Lampard is credited with the goal by UEFA, despite the fact the ball took eight deflections, and travelled to and from Timbuktu, on its way into the net.

13) Phil Thompson, Graeme Souness, and a number of other SKY Sports pundits bash the Italian league at every opportunity, and label it an "old, slow, retirement home", while repeatedly championing the Premier League as the "best league in the world".

14) Souness says he would never have the over-rated Francesco Totti or Zlatan Ibrahimovic in his team (if he was a manager).

15) Italian media pundits jealously declare that the only reason the Premier League is so strong is because of foreign owners, managers and players.

16) In the build-up to Arsenal-Roma, both will be described as attractive, passing sides who play good football, but whoever loses the tie will be condemned as being 'in crisis.'

17) There will be serious crowd trouble inside and outside the Stadio Olimpico. English fans smash up a number of local bars. Italian fans attack their adversaries while riding around on mopeds.

18) The English media blame 19th century Italian policing for the trouble.

19) The Italian media blame 19-times over-the-drink-limit English fans for the trouble.

And Finally…

20) Whichever country comes out on top in the three-round contest will declare that they have the best league in the world.
 
Last edited:
Mimim nasubiri 'jungu' tu zianze kupikwa 'coz Mourinho huwa anaanza kukufunga kwanza Nje ya Uwanja kwa maneno, uwanjani akumalizia tuu!

Robo fainali kila mechi inakuwa ngumu, no any opponent can be taken for Granted ila I guess kwamba kwa timu za England ni Manutd tu so far tuna uhakika wa kupita.(kauli yangu sii futi na sitakimbia jukwaa)

...Manda, 24th/25th February ni wiki kumi tu toka sasa,.... ushaanza kuhesabu vifaranga wakati hata kuku hajataga? ha ha ha... well well well!

nimemuona Mourinho na glass yake ya Champagne... jamaa tayari anajiramba mdomo, he cant wait!...

safari hii Chelsea nishawa count out,.... Man U mnh, sijuiiiii!!!.... Arsenal nauhakika tunavuka last 16 bila wasiwasi...

unasema hutakimbia jukwaa, nami nishaiweka tarehe kwenye Diary!
 
It's funny jinsi ulivyo orodhesha timu zote tatu, kasoro Liverpool. Hivi mnataka Liverpool ifanye nini season hii ili ipewe heshima yake?

Btw, mimi ni Liverpool for life...ha ha haaaaa
 
It's funny jinsi ulivyo orodhesha timu zote tatu, kasoro Liverpool. Hivi mnataka Liverpool ifanye nini season hii ili ipewe heshima yake?

Btw, mimi ni Liverpool for life...ha ha haaaaa

...Bwawa la maini!...:D yeah, Liverpool nawapa heshima yao, jamaa ni 'Giant Killers' hata wakiwa na migogoro au team dhaifu kiasi gani, ...ile mashine kubwa Steven Gerrard ni balaaa... anaibeba team nzima, bila kusahau 'Roars' za Anfield faithfuls!... halafu msimuache wala kumuuza yule mdachi, Babel...!

Sikupenda Jose Mourinho atolewe mapema kiasi hiki.
Serie A hakuna la maana, even with Jose (kama Manda, I bet my neck that Inter are surely out)

...'tuk-tuk-tuk!' jinsi ulivyoandika inaonekana dhahiri umeandika kwa shingo upande, ushajikatia tamaa..., umenisikitisha sana Roya Roy, ...ndio hivyo tena.

hata Fergie mwenyewe hakupenda akutane na Mourinho, By 11th march 2009 tutakuwa tushawasahau nyie Man U na Chelsea kwenye kinyang'anyiro cha kuelekea Rome!
 
...Bwawa la maini!...:D yeah, Liverpool nawapa heshima yao, jamaa ni 'Giant Killers' hata wakiwa na migogoro au team dhaifu kiasi gani, ...ile mashine kubwa Steven Gerrard ni balaaa... anaibeba team nzima, bila kusahau 'Roars' za Anfield faithfuls!... halafu msimuache wala kumuuza yule mdachi, Babel...!

Haya bana wewe tubeze tu... Unajua sisi tunafurahi sana kuwa "underdogs" of the four teams. Na ndio maana tumekaa kimya muda wote huku tukifanya mavituz yetu.

Oh well, tutaona kati ya Arsenalians and Liverpoolians nani watakula krimasi vizuri.
 
:eek::eek::eek: hivi ni keshokutwa eeeh??? :D:D:D...

kuwafunga ni muhimu, tulianza na Man U, Chelsea, halafu na nyie ni lazima...! hiyo ndio Priority yetu msimu huu, esp hii 1st round ya EPL... ummm, 'our Chritmas present!'

Gifts will be exchanged all over the globe this Christmas but Arsène Wenger would rather wait until May to deliver his own present to Arsenal's fans - the Champions League.

The Frenchman has enjoyed plenty of domestic success during his 12 years at the helm but he has never won Europe's premier club competition. Wenger went close, of course, leading Arsenal to the 2006 Final where they lost 2-1 to Barcelona despite leading for much of the game with 10 men.

The next obstacle in Arsenal's path to Champions League glory is a last-16 tie with Roma following Friday's draw in Nyon. Wenger would dearly love to see off the Italians and go one better than he did two and a half years ago.

"I want to give that [the Champions League] to my club because not only have I not won it, but the Club have not won it," said the Arsenal manager.
 
kuwafunga ni muhimu, tulianza na Man U, Chelsea, halafu na nyie ni lazima...!

I can honestly say the same thing......tumefanyia mlichowafanyia hao vibonde wawili. Tena sisi tulikuwa wa kwanza. Yaani sisi tulipata nyama fresh kabisa, nyinyi mkamalizia makombo yetu....lol

Tusubiri hiyo jumapili....
 
Sikupenda Jose Mourinho atolewe mapema kiasi hiki.
Serie A hakuna la maana, even with Jose (kama Manda, I bet my neck that Inter are surely out)

I really like this....tehe tehe...Jose ashaanza majungu, anadai Rooney was supposed kufungiwa...tehe tehe...Jose utasema yote this time..it is our time of REVENGE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom