FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
Defence ya Barca inalinda sana goal keepers-invisibility ya Bravo itakuwa tested sana City. Guadiola anataka a goalie who can play the ball,but kama defence ni suspect hapa ni sucide-i don't think hii defence ya city can handle situation hii. what I think ni Bravo may have made a wrong move
 
Hapana mkuu bado tuna kipa imara sana, Marc-Andre ter Stegen alikuwa anamkarisha bench Bravo, mpaka Luis Enrique alipokuwa anaulizwa kipa namba moja wako ni nani akajibu hadi sasa hajapata kipa namba moja atakayekuwa anakaa golini mda wote maana makipa wake wote wawili ni wazuri na nina uhakika Enrique hawezi kumuuzia Guardiola kipa wake mzuri kuliko wote hata kama ni marafiki
 
Sawa mkuu ngoja tuangalie
 
Na ikumbukwe Marc Andre ter Stegen bado ana umri mdogo sana compare na Bravo ambaye tayar ana miaka 32, ter stegan ni product ya muda mrefu

Sent from my D6603 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo vilevile ni kwamba the other keeper is also good huwezi kumuweka bench kikaeleweka
Yah, hili nalo neno. Kama ni mkataba mbona inasemekana mkataba wake yeye ni League tu!? Stegen bado ni mdogo na ni mzuri pia, acha akae golini tuu.
 
Ni kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
Guardiola ni tahira tu, unamuachaje Hart na kumchukua Bravo?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Defence ya Barca inalinda sana goal keepers-invisibility ya Bravo itakuwa tested sana City. Guadiola anataka a goalie who can play the ball,but kama defence ni suspect hapa ni sucide-i don't think hii defence ya city can handle situation hii. what I think ni Bravo may have made a wrong move
Yaani wewe bint unaongea point saana, ungekuwa shabiki wa Man U au Madrid hakika ningeandama uje Barcelona.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
OFFICIAL: Barcelona complete
Cillessen signing
Aug 25, 2016 11 Transfer Zone
The two-time Ajax Player of the Season has
completed his move to Camp Nou, where he will
replace Manchester City-bound Claudio Bravo
Barcelona have announced the signing of Jasper
Cillessen from Ajax on a five-year contract.
The goalkeeper arrivs at Camp Nou for a fee of
€13 million, with a further €2m for performance-
related add-ons, and will replace Claudio Bravo,
who is set to be announced as Manchester
City's last signing.
Cillessen's buyout clause has been set at €60
million and will be presented to the Barcelona
fans on Friday.
FC Barcelona sign goalkeeper
@jaspercillessen . More information at
ow.ly/b2ye303ze1o #CillessenFCB
1:36 PM - 25 Aug 2016
1,791 1,215
FC Barcelona
@FCBarcelona
"Dreams come true," he said on Twitter,
complete with a picture of him in a Barcelona
shirt in front of the club's badge ahead of the
confirmation.
The 27-year-old started his career at NEC
before moving to Ajax in 2011, and he would
turn out on more than 100 occasions for the
Amsterdam outfit. Moreover, he was named his
club's side Player of the Season in each of the
last two campaigns.
Since debuting in 2013, he has played regularly
for the Netherlands international side, tallying 30
caps since debuting against Indonesia, and was
their No.1 as they claimed third place at the
2014 World Cup.
 
1472123421958.jpg

KIPA MPYA
 
wewe nakuamini sana ktk anything football-nahisi kuna mtu kachukua password yako--kweli unasema Hart ni bora kuliko Bravo?? AU na unasoma too much of the English press??
huyo ni Yanga kipigo cha Congo kinamchanganya(natania)
 
haiwez vuma kama KING KUBADIL NYWELE kila mtu anajua katengenezewa et tatu bora SUAREZ HAYUPO wala KING
Sasa Nesi awekwe kwa lipi alilolifanya msimu uliopita?

Nasubirieni January muone Cr7 jinsi anavyotwaa tena Ballon de or kwa ukali wa ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom