FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

HABAR NJEMA KWA MASHABIKI WA BARCELONA NI KUWA YULE MCHEZAJ BORA WA BRAZIL NEYMAR AMEIWAKILISHA VYEMA NCHI YAKE KWENYE MASHINDANO YA OLYMPIC AMBAPO AMEIPA UBINGWA BAADAYA KUICHARAZA KWA PENAT 5-4 UJERUMANI NA IKUMBUKWE MATOKEO YA DKIKA 90 YALIKUWA 1:1 HUKU NEYMAR AKITUPIA GOLI KALI LA FREE KICK KABLA YA UJERUMANI KUSAWAZISHA NA NEYMAR KUTUPIA PENAT YA USHINDI BBAADA YA DAKIKA 120 KUWA SULUHU YA 1:1

NB: huku ndiko kuibeba nchi yako sio unasubir wenzio wapige gol wewe uwe kiherehere wa kutake selfie na kujipa maujiko
Hongera Brazil na Viva Barcelona
 
Uefa TE="Red Giant, post: 17300974, member: 73501"]nasikia wanambania tuzo za ulaya!? ngoja awatie aibu.[/QUOTE]
Uefa mwaka huu wamekuwa na upendeleo wa wazi
 
Unampaje tuzo ya ulaya mchezaji ambaye timu yake ilitolewa kabla hata ya kufika fainali kwenye club bingwa ulaya , umpe tuzo umuache mchezaji ambae kaongoza ufungaji wa magoli kwenye uefa champions league,kachukua club bingwa ulaya, mfungaji wa ujumla katika ligi zote, kisa washabiki wa barca hawampendi haya ni maajabu ,sio hivyo tu subirini mchezaji bora wa dunia hapo povu litawatoka ,alichukua messi fair akichukuwa tofauti na mchezaji barca unfair, football sio hisia jmn mchezo wa wazi
 
unamjua anaeongoza ufungaji na assists kwenye ligi zote?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unampaje tuzo ya ulaya mchezaji ambaye timu yake ilitolewa kabla hata ya kufika fainali kwenye club bingwa ulaya , umpe tuzo umuache mchezaji ambae kaongoza ufungaji wa magoli kwenye uefa champions league,kachukua club bingwa ulaya, mfungaji wa ujumla katika ligi zote, kisa washabiki wa barca hawampendi haya ni maajabu ,sio hivyo tu subirini mchezaji bora wa dunia hapo povu litawatoka ,alichukua messi fair akichukuwa tofauti na mchezaji barca unfair, football sio hisia jmn mchezo wa wazi

Kwa mujibu wa hoja yako unataka Penado apewe tuzo sababu

1: KUONGOZA MAGOLI UEFA
ni kweli Penado kaongoza kwa magoli Uefa ila tuangalie hayo magoli yaliisaidiaje Madrid sababu mwisho wakufunga magoli kwake ni robo na hii ndio sababu tunasema huyu jamaa huwa anaflop kwenye timu kubwa na kuonekana mnahatishaji tu sababu hata kwa PSG hakufua dafu
1471878050195.jpg

2: KUCHUKUA UEFA

Hii ndio sababu hata Mou alichana makavu haiwezekani ujipaishe kwa mgongo wa mwenzie kwani daima muokoz wa Madrid ni Ramos
1471878034307.jpg

3: UFUNGAJI WA JUMLA KATIKA LIGI ZOTE
Huu ni uongo uliokithiri kwani ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
PICHICHI INAKWENDA KWA SUAREZ
1471878014013.jpg
 
Pichichi kachukua Suarez ndio ,tunaposema mfungaji wa ujumla tunamaanisha uefa+ laliga , uefa+ EPL ,uefa+ bundas, uefa+ europa+ EPL/laliga ect sasa uongo wangu uko wapi uwe fair ndg

Na tufikiri asingezifunga timu ndogo Madrid ingefika hapo fainali ?

Ronaldo hajawai kuifunga team gani kubwa nitajie ?
 
Its most likely Bravo is on his way out-we wish him all the best, At Barca we understand keeping two top notch goal keepers happy is one hell of a job,as such we thank him for the good memoirs
 
Hyo tuzo ya mfungaji wa jumla inaitwaje??

Kuhusu huyo Penado kuzifunga timu kubwa

Nitajie timu 3 kubwa ambazo Penado kazifunga hattrick
 
Its most likely Bravo is on his way out-we wish him all the best, At Barca we understand keeping two top notch goal keepers happy is one hell of a job,as such we thank him for the good memoirs
Mimi nafikiria kutokucheza kwake Uefa kumechangia Golikipa kama bravo ni ajabu kuwekwa benchi Uefa
 
1471980411813.jpg
kwa Bravo Barcelona tumefanya kosa kubwa sana kwani huyu ni golikipa mzur saaana

Tunamtakia maisha mema kwa timu yake mpya ya Manchester City
 
View attachment 386617kwa Bravo Barcelona tumefanya kosa kubwa sana kwani huyu ni golikipa mzur saaana

Tunamtakia maisha mema kwa timu yake mpya ya Manchester City
Sasa kosa ni lipi? Bravo ametaka kuondoka what do you do,Barca hawezi shindana na moneybags Sheikhs wa Man City. Kitu kimoja nachojua Barca when it comes to goalies-its never been a problem
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sasa kosa ni lipi? Bravo ametaka kuondoka what do you do,Barca hawezi shindana na moneybags Sheikhs wa Man City. Kitu kimoja nachojua Barca when it comes to goalies-its never been a problem
Ukiangalia zaid tatzo kwa Bravo haikuwa pesa ila tatzo ni kucheza UEFA czani kama kunagolikipa asiyependa kucheza kimataifa
 
if you look at it in another way ni kwamba-kulikuwa hakuna tofauti whichever goal keeper was playing-hatujawahi ku hold our breath tukisikia any of the two was in goal
 
Tatizo vilevile ni kwamba the other keeper is also good huwezi kumuweka bench kikaeleweka
Ni kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom