FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya nakusamehe 7 huwez fkisha hata ufanyeje

Bas nabishana na atleast tim ilo choza semifinal mfululizo miaka mitatu hii ya mwisho

Amna jipya apa, ngoja niende kwa mabingwa wa mabingwa nkasehereheke

Bakini na copa de la rey yenu
HIYO COPA ULIKUA UNAITAKA ILA HUKUIPATA C JUI LALIGA TENA MAANA ILIBIDI UFUKUZE HADI KOCHA
 
Roho mbaya henu ndo imetupa Ubingwa wa 11

Yaani Kikosi kile Cha best of All Nationals kinasubiri Roho mbaya ndo kichukue ubingwa???, I guess fukuza fukuza makocha ndo imeleta ubingwa, ingawa bado 2-1 kwa msimu Barca inaongoza na Trebles bado mwaisikia kwenye Pipa. By the way Hongereni
 
1464596213832.jpg
mmoroco
 
...hayo makombe mliyochukua miaka ya 1800 ndio unajiona mjanja?!, the last ten years mmeshinda UCL mara ngapi?!, tena mkisubiri mpk baba yenu Barca atolewe!....:rolleyes::rolleyes:
na km siku ile mngekuwa mnacheza na Barca,km sio mnafiki unajua vizuri nini kingewakuta:D:D
 
Mwaka 1800 unaujua!!!?

Mara ya mwishi reak kacgeza na nyie mmepigwa 2-1

Asa sijui una mtisha nani!!!
 
...hayo makombe mliyochukua miaka ya 1800 ndio unajiona mjanja?!, the last ten years mmeshinda UCL mara ngapi?!, tena mkisubiri mpk baba yenu Barca atolewe!....:rolleyes::rolleyes:
na km siku ile mngekuwa mnacheza na Barca,km sio mnafiki unajua vizuri nini kingewakuta:D:D

Acha kukariri kama hujui habari za mpira bora urudi jikoni tu ukaoshe vyombo. For your information, tangu mfumo mpya wa UCL uanze Real Madrid ashabeba ndio 6. More than any club. Sasa wewe unataka kusema nini?
 
....mazezeta ndio kawaida yenu!,nimekuuliza last ten years mmeshinda mara ngapi?,na Barca kashinda mara ngp?, jifunze kuelewa swali zoba:D:D
 
Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom