Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Neville alitusumbua sana ile mechi ya ligi. mshenzi.Masikini valencia...ishalowa 6 bila! Nevilles wanajifunza soka kwa vitendo
Neville alitusumbua sana ile mechi ya ligi. mshenzi.Masikini valencia...ishalowa 6 bila! Nevilles wanajifunza soka kwa vitendo
Mkuu huko twitter mashabiki wa the gunners wanavompigia kelele prof Wenger wanaijua shughuli.wanger hapati pichaa arseno kazi mnayo tayarisheni anti msn laa si hivyo kipigo kitawahusu
Hivi ukiwa unawashabikia wale viwete wako man u unapata radha kama hii!?Visca el Barca .......hadi raha Suarez hat-trick , Messi naye yake,dah !! Jana tu Neymar hakuwa na bahati lakini siyo mbaya naye siku yake ipo........Suarez ni shidaaaaa!!!!!!!.......Vamos Enrique kwa kuiunda MSN.....
siongei na wewe tena!!!!Hivi ukiwa unawashabikia wale viwete wako man u unapata radha kama hii!?
Duhhhh!!! Ndo maana wanasema ukiwa unaongea kumbuka kuweka Akiba ya maneno.....Vipi Garry Neville, umefungwa 7-0 at Nou Camp, unasemaje juu ya hii kauli yako?
View attachment 321125
Ahahahahahahahahaha kwanini bebi!?siongei na wewe tena!!!!
Siongei na Ww kwanini unaidharau timu yangu?Ahahahahahahahahaha kwanini bebi!?
Dota ila si nimekuuliza swali tuu!!??Siongei na Ww kwanini unaidharau timu yangu?
Mkuu, Xavi na Iniesta hawajafundishwa na Pep pale Barcelona B.Amekimbia Lawama, angeenda timu kama Chelsea, PSG au Madrid angepewa kazi kubwa sana juu ya UEFA. Kaenda Man City huku akitegemea kazi yake kubwa ni League tuu.
Kuna watu nilishawahi kuwaambia kuwa Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana, kilichompa mafanikio makubwa pale Barca ni Messi pamoja na Tiki taka ambayo ilikuwa ikichezeshwa na Mafundi akina Xavi na Iniesta.
Kipindi cha 2011-2012 Pep aliona kuwa mfumo wa Barca umeshapata suluhisho kwa timu pinzani, akaamua kusepa. Na ni kweli kabisa, endapo jamaa angebaki na Mourinho akabaki pale Bernabeu, tungekuwa tunaburuzwa sana.
Kudhihirisha kuwa Pep ni bomu, baada ya kwenda Bayern akaamua kupeleka mfumo wa Barca badala ya kuanzisha Soka lake binafsi kule Bayern. Tiki taka sio yake, ni ya JOHAN CRUYFF. Yeye mwenyewe alipewa tu mbinu ya kuifundisha Tiki taka, na ndo akawafundisha Barca B wakiwepo akina Iniesta, Xavi, Messi n.k
Pep kwangu ni kocha wa kawaida tuu, ukiniwekea yeye na Ancelot nitamchagua Ancelot.
Swadakta na kuna kocha wao msaidizi alimchukua pep na kumpeleka la masiah na kumuonyesha xavi akamwambia huyu atakufanya ustaafu mapemaaa.Baadae xavi ndo akaja timu ya Wakubwa kule akabaki iniesta ambae nae nadhani msimu ulofuata akajiunga nao.Mkuu, Xavi na Iniesta hawajafundishwa na Pep pale Barcelona B.
Messi, Busquets, Pique na wengine ndiyo wanafunzi wa Pep. Xavi kacheza na Pep wakati Pep anamalizia career yake pale Barca...and by that time Iniesta naye ndiyo anaibukia timu ya wakubwa!
Vuta kumbukumbu vizuri mkuu...Carles Puyol, Xavi, na Iniesta wote wamecheza enzi Pep akiwa captain, kabla hajamwachia ucaptain Luis Enrique 21!