fatwa ndio nini mkuu?
nakumbuka ayatollah khomeini alitoa fatwah kwa salman rushdie kwa kuukashifu uislamu kupitia kitabu chake cha the satanic verses. huyo ayatollah akaamuru kichwa cha rushdie kiletwe kwake.
je fatwa ya uchaguzi mkuu inafanana na hiyo ya ayatollah kwa salman rushdie au inafananaje mkuu?
hatuna haja ya kulumbana na wewe. Mpe asalam aleykum MkwereSawa,lakini nahisi unachakachua ukweli. Jamii forums ina wanachama hata 30,000 hawafiki na wengine ni marehemu.Kwa vyovyote vile walio hai hawawezi kuwa online wote.Hivi ninavyoandika walioko online hawafiki 1500.Vijijii hawajui hata internet.
.......kwani masuala ya uislamu si ya kukurupuka.Ni mambo ya kisomi na kiutafiti.
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.
\
kumbe fatwa is not a monster pipo to fear, kama kuna news tupe tu mkuu sio lazima twende kusikiliza hiyo redio kwani tuko hapa ili kushare issues mbalimbali zilizojiri ktk maeneo mbalimbali ikiwemo vyombo vingine vya habari!
AMi utajihangaisha bure hapa ,wengi wao wanatembea na misalaba mabegani na wengine huwashinda njiani wakaitupa ,si umawaona wanavyojidai walokole.