Elections 2010 Fatwa ya waislamu live redio imani fm kuhusu uchaguzi mkuu

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,115
10,822
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.
 
.....coverage ya hiyo redio si kubwa kama ya JF so as long as umeamua kutuhabarisha, tupe yaliyojiri! Pia hiyo redio hata kule inapofika, inawasikilizaji kiduuuuchu sana so lete story!
 
Sawa,lakini nahisi unachakachua ukweli. Jamii forums ina wanachama hata 30,000 hawafiki na wengine ni marehemu.Kwa vyovyote vile walio hai hawawezi kuwa online wote.Hivi ninavyoandika walioko online hawafiki 1500.Vijijii hawajui hata internet.
Nakushauri nawe peleka mchango wako huko. Ukichangia jitayarishe kwani masuala ya uislamu si ya kukurupuka.Ni mambo ya kisomi na kiutafiti.
 
Hiyo radio ni nuksi haina maana kabisa imejaa udini kupindukia
 
sisi tusio waislam tukiamua kutumia radio zetu zinazocover Tanzania nzima itakuwaje? uislam uislam as if mko wenyewe. Upuuzi wa hali ya juu
 
Sikiliza kinachozungumzwa.
Inasisitiza umoja.Fatwa ina uchambuzi mpana.Haitaji udini bali inahimiza uhuru wa dini.

AMi utajihangaisha bure hapa ,wengi wao wanatembea na misalaba mabegani na wengine huwashinda njiani wakaitupa ,si umawaona wanavyojidai walokole.
 
Shouldn't a guy with your IQ have a low voice too?
 
Fatwa ni nini?

Fatwa ni maamuzi ya juu yanayotolewa na kundi la wasomi kwa kupitia maandiko matakatifu ya Qur'an na Sunna kuhusiana na suala fulani lenye utata lililofikishwa kwao.
Fatwa ya leo inazungumzia umuhimu wa waislamu kushiriki kupiga kura katika nchi kama Tanzania.Hii ni kama ile elimu ya uraia inayotolewa makanisani au kama vile alivyofanya Kakobe
 
Mafundisho ya marehemu hayana nafasi Tanzania.
 
AMi utajihangaisha bure hapa ,wengi wao wanatembea na misalaba mabegani na wengine huwashinda njiani wakaitupa ,si umawaona wanavyojidai walokole.

mmhhh anzeni na kuhamisisha watu wasome gazeti ya AL-Huda!
 
Fatwa ni maamuzi ya juu yanayotolewa na kundi la wasomi kwa kupitia maandiko matakatifu ya Qur'an na Sunna kuhusiana na suala fulani lenye utata lililofikishwa kwao.
Fatwa ya leo inazungumzia umuhimu wa waislamu kushiriki kupiga kura katika nchi kama Tanzania.Hii ni kama ile elimu ya uraia inayotolewa makanisani au kama vile alivyofanya Kakobe
\

kumbe fatwa is not a monster pipo to fear, kama kuna news tupe tu mkuu sio lazima twende kusikiliza hiyo redio kwani tuko hapa ili kushare issues mbalimbali zilizojiri ktk maeneo mbalimbali ikiwemo vyombo vingine vya habari!
 
Sikiliza fatwa za uislamu juu ya kupiga kura kupitia redio Imani FM ya Morogoro.Kila eneo linaweza kuwa na masafa yake.Sheikh Muhammed Issa yuko hewani.
Ukikosa sasa inarudiwa rudiwa leo.

fatwa ndio nini mkuu?
nakumbuka ayatollah khomeini alitoa fatwah kwa salman rushdie kwa kuukashifu uislamu kupitia kitabu chake cha the satanic verses. huyo ayatollah akaamuru kichwa cha rushdie kiletwe kwake.

je fatwa ya uchaguzi mkuu inafanana na hiyo ya ayatollah kwa salman rushdie au inafananaje mkuu?
 
Back
Top Bottom