Sasa Chande amekosa kazi nyie mnashangalia nini hapo?
Tunashangilia kwasababu kama Chande aliweza kupewa Amri na RC wa Arusha Magessa Mulongo kuhakikisha mahakama yake haitoi dhamana kwa Mh. Lema. Je, wewe kwa akili (sio masaburi) yako unafikiria angeweza kutenda haki wakati tutakapo mpeleka (Jina kampuni) the Hague jamaa aliyebaka mchakato wetu wa katiba mpya? Kama Chande angepata huyo jamaa si angetuua with impunity maana angejua huko ICC yupo mshikaji wake.