Fatou B mwanamama Mgambia wa ICC aja Tanzania kuprosecute kesi ua Dr Ulimboka

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
under the doctrine of Complimentarity ICC inayo power ya kuprosecute hii mambo.
baada ya mambo kusikika Duniani chini ya BBC na Magazeti ya Marekani, inasemekana kuna uwezekano mkubwa mwanamama aka the new Ocampo atakuja Tanzania kuestablish Admissibility ya kesi ya torture dhidi ya Dr.
my take
Article 7 inasema Torture ni moja ya crime against humanity. hivyo basi naomba kwa International lawyers na wanaharakati,Ngos kwa pamoja tuhakikishe hii mambo inafika ICC
 
Ni habari njema lakini tupe chanzo ili twende sawa.
 
Back
Top Bottom