simjui mtu
Member
- Jul 19, 2011
- 11
- 0
Wadau ninaomba mnipokee kwani hapa najua nitaelemika kwenye all aspect.
Mkuu naomba unatambushe kwa hao kina mama.Kuna kina mama micharuko humu ujue lakini!
Mkuu naomba unitambushe kwa hao kina mama.Kuna kina mama micharuko humu ujue lakini!
Mkuu naomba unitambushe kwao.Kuna kina mama micharuko humu ujue lakini!
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako na nitazingatia.Tabia za ufataki ziache huko huku, hapa utuletee maada mototo na michango makini. Karibu sana mkuu.
Mkuu naomba unitambushe kwa hao kina mama.
Wadau ninaomba mnipokee kwani hapa najua nitaelemika kwenye all aspect.
huyo fataki yupo sahihi kazi kwenu wakina dada sisi tukiwaona mmesimama nae tu basi twajua nini mwaongea maana kajitamburisha yeye ni ditoneta.Vipi Mzee Fataki umebadili jina? haya majina ya kutishia mabinti zetu; ningekuwa MOD ungelamba BAN siku ya kwanza!
<br />Wadau ninaomba mnipokee kwani hapa najua nitaelemika kwenye all aspect.