Fashion show zina kasoro

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,773
2,545
Nimekaa mbele ya tv yangu nikitazama chanel ya fashion tv kupitia king'amuzi nikisubiri mechi ya udachi na hispania kuanza. Wanapita vijana wa kiume walio na miili ya kiume hasa katika mavazi tofauti kuanzia suti hadi boxer. Vifua vimetanuka, matumbo flat, misuli miguuni na mikononi na nyuso mvuto. Hii pia ni kwa mabinti. Ina maana imefanyika segmentation kwa ajili ya watu kama hao tu? Mbona dunia hii ina kila aina ya shepu? Mbona hawana uwakilishi katika fashen show? Mbona hao wabunifu wana miili mikubwa tofauti na wanachotangaza? Mcheki idarus, hasanal ndo kashtuka na kwenda kujikondesha. Hawa jamaa huwalenga nani katika ubunifu wa mavazi? Angalia matoy kwenye maduka ya mavazi.
 
Unaonaje kama ukianzisha hivyo unavyoona vinakosa uwakilishi mazee? Huenda kuna clientelle kubwa tu na hii idea ika hit.
 
Unaonaje kama ukianzisha hivyo unavyoona vinakosa uwakilishi mazee? Huenda kuna clientelle kubwa tu na hii idea ika hit.

inawezekana, mkuu ila wa kuifanya hii ni hao ambao tayari wanaijua tasnia ya mavazi kwa uzuri zaidi. Sie huku nje ni kutoa mawazo endelevu tu
 
inawezekana, mkuu ila wa kuifanya hii ni hao ambao tayari wanaijua tasnia ya mavazi kwa uzuri zaidi. Sie huku nje ni kutoa mawazo endelevu tu

Mazee acha kuchekesha. Either unajua kuwazidi na ndio maana ukaona "kasoro" na hivyo una nafasi ya kufanya kitu better, au hujui zaidi yao na huwezi kuja na confidence hapa kutoa kasoro.

Now which is it?
 
naomba nikuuzie hii idea
 
Only if utakubali kununua daraja langu moja liko Dar, linaitwa Salender.

hii inaashiria kuwa by any means necessary hutaki kununua wazo. Basi tufanye burter trade. Ila nahofia kurithi na nuksi zote za salenda
 
biashara matangazo ...............unatarajia watu wavalishe watu sura mbaya nguo atanunua nani?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom