lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Nimeipenda hiyo ya kwanza zaidi...nzuri..
umeipenda kwa sababu MAPAJA NJE kama kawaida yenu.
kwa kiburi hiki sidhani kama utapata mumeWe ni nani hadi unipangie nachopenda...
unge comment kwenye hizo picha sio kusahihisha comment yangu.
kwa kiburi hiki sidhani kama utapata mume
kwa kiburi hiki sidhani kama utapata mume
Kwani amekuambia hana mume?
My sis kuna watu wengine yabidi ucheke tu.
Bora wewe unacheka, mie huwa nawatukana kimoyomoyo!
kwa kiburi hiki sidhani kama utapata mume
Haahahahah!
Inaonyesha hana, kwa kiburi chake lazima angeweka bayana baada ya kumrudhia dongo, unajua kuna watu wanatafuta wachumba hapa.Kwani amekuambia hana mume?
Labda na yeye anatafuta wa kumuoa...he heAisee, wewe ni jinsia gani?
Umeolewa weye!?