Fasheni za kuvaa nguo za michezo.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
SIKU HIZI NI JAMBO LA KAWAIDA MTU KUVAA JEZI YA TIMU YA NJE AU YA HAPA NCHINI NA KISHA KWENDA MATEMBEZINI.
KATIKA KUISHI KWANGU NIMEKUWA NIKIONA MARA ZOTE ZINAVALIWA JEZI ZA WACHEZAJI WA NDANI.
LAKINI KITUKO HIKI, NLICHOKIONA LEO KWA SHIGONGO NAOMBA NIKIITE CHA MWAKA.
JAMAA KAVAA JEZI YA KIPA MCHANA KWEUPEEEE...
HEBU FIKIRIA NGUO ZA MAKIPA ZIMETENGENEZWA NA NYLON, PIA ZINA MASPONJI NA MASTIFU MENGI SANA.
KWA HIYO ZINA JOTO KWELIKWELI...
LAKINI NDUGU YANGU HUYU HAKULIONA HILO AKAAMUA AFE NA FASHENI.

Joseph Shamba ‘Vengu’ (kushoto) akiwa na kiongozi wa African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Mbutu (katikati), na kulia ni mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka.
 
Moderator hii thread inafaa ipelekwe kwenye lile jukwaa la mambo ya kipuuzi!
 
SIKU HIZI NI JAMBO LA KAWAIDA MTU KUVAA JEZI YA TIMU YA NJE AU YA HAPA NCHINI NA KISHA KWENDA MATEMBEZINI.
KATIKA KUISHI KWANGU NIMEKUWA NIKIONA MARA ZOTE ZINAVALIWA JEZI ZA WACHEZAJI WA NDANI.
LAKINI KITUKO HIKI, NLICHOKIONA LEO KWA SHIGONGO NAOMBA NIKIITE CHA MWAKA.
JAMAA KAVAA JEZI YA KIPA MCHANA KWEUPEEEE...
HEBU FIKIRIA NGUO ZA MAKIPA ZIMETENGENEZWA NA NYLON, PIA ZINA MASPONJI NA MASTIFU MENGI SANA.
KWA HIYO ZINA JOTO KWELIKWELI...
LAKINI NDUGU YANGU HUYU HAKULIONA HILO AKAAMUA AFE NA FASHENI.

Joseph Shamba ‘Vengu’ (kushoto) akiwa na kiongozi wa African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Mbutu (katikati), na kulia ni mkurugenzi wa bendi hiyo, Asha Baraka.

Mkuu nadhani hukusoma vizuri ile habari kwa shigongo, Ukweli ni kuwa Vengu na kundi zima la orijino Komedi walikuwa anafanya shutingi pale ASET kwa kutumia vifaa vya Twanga. Na kwa vile kazi ya akina Vengu ni kuiigiza basi kama ambavyo huwa wanavaa nguo za kike wakati wanaigiza kwa shughuri ya siku ile hilo ndilo lilikuwa vazi la kazi. Hapo kuna mtu kaigizwa, angalia viatu hivyo havina soksi kimtindo. Hiyo nguo ilikuwa nguo ya kazi >
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom