Faru Serengeti Auwawa!

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hatimaye kile ambacho hakiaminiki kule Serengeti ni kua kati ya wale Faru watano tuliokabiziwa kutoka Afrika ya kusini Faru mmoja ameuwawa kule katika hifadhi ya wanyama mbuga ya Serengeti. Faru hao tuliokabidhiwa walikua wamepewa ulinzi wa kutosha usiku na mchana lakini majangili wasiokua na huruma na wanyama hawa ameuwawa kwakweli hii ni habari ya kusikitisha sana. Muheshimiwa Raisi tunaomba hatua kali za kisheria zichukuliwe kuwapata maharamia hao waliojihusisha na ujangili huu wa aibu ndani ya nchi yetu kweli kweli inasikitisha na inatia aibu kubwa kwenye nnchi hii. Nawasilisha hii hoja.:angry:
 
Naomba kuuliza,
Kwani hao faru wanafaida gani, au ni kwa ajili ya utalii?
Niliona mwaka jana wakiletwa kwa ndege mpaka huko mbugani,
NAOMBA KUULIZA TU ILI NIELEWE...
 
Back
Top Bottom