Fart Study

Wee Boflo weee! Asante, Umenifurahisha sana kwa kufichua hiyo study.
 
Nipo ofisin naogopa kuifungua hiyo study, hebu nihakikishie Boflo haina mlio kweli? Nisije nikashtua watu bure!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, yaani naogopa kufungua
Mie na bosi wangu leo tunashare komputa.
 
Hizo za kwenye gari halafu uko peke yako ni poa sana hizo! Hakuna kujibana....unajiachia tu!:car:
 
Back
Top Bottom