Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 337
Wiki hii November 24 itakuwa ni kumbukumbu ya miaka 20 tangu alipofariki mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rock ambaye ni Mtanzania wa asili ya India mzaliwa wa Zanzibar Farrokh Bulsara aka Freddie Mercury. Mwanamziki huyu alitikisa vilivyo ulimwengu wa music miaka ya sabini na themanini kwa vibao vyake maarufu kama "I was born to Love You" ; "Living on My Own" n.k
Kifo cha mwanamziki huyu kilichotokea Nov 24 mwaka 1991 huko UK kilisababishwa na maradhi ya Ukimwi na hivyo kwa mara nyingine tunakumbushwa kuendeleza mapambano dhidi ya gonjwa hili hatari.
Mwanamziki huyu alipata mafanikio kiasi kwamba huko nchini Swiss waliamua kutengeneza sanamu lake na kuliweka kando ya Lake Geneva na hadi leo sanamu hilo lipo sehemu hiyo
RIP Freddie Maercury
Freddie Mercury - Wikipedia, the free encyclopedia