Hili nalo ni zito, mtu unaamua kuuza mkeo ili ukalipe deni?? Ndo maana kumbe wahindi hawathamini utu wa mtu wao ni pesa tu. Mwanamke India hana thamani na wakiwa wanatembea njiani utakuta mme mbele, mke nyuma. Kufanya kazi ndo hawaruhusiwi mpaka labda mme awe amesoma nje kwa hiyo angalau anaelewa dunia inavyokwenda. Soma hapa chini:
http://edition.cnn.com/2009/WORLD/asiapcf/10/22/india.farmers.selling.wives/index.html
http://edition.cnn.com/2009/WORLD/asiapcf/10/22/india.farmers.selling.wives/index.html