Farida nakutafuta

MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,071
1,252
naomba kama kuna mtu anamfahamu mwanadada anayeitwa farida au kama mwenyewe ni mwanachama humu anipm tafadhali ni muhimu sana.Anafanya biashara kati ya China na Bangkok kama sikosei ni biashara ya computer n.k,anaishi maeneo ya kndoni Muslim
 
Anaitwa Farida nani?Na amepotea au vipi?Halafu mfanyabiashara mkubwa hivyo hana link ya kumpata?Au kwa sababu anfanya biashara China na Bangkok ashaanza kuwa na FAKE IDENTITY hahahaha
 
we musinga,ufumire churku?
angalia mkulu wadada wa mujini ukiingia kichwakichwa utarudi kondoa kwa miguu ukiongea mwenyewe ka kichaa.
kwani ulimpa ngapi?
 
Hahaha. Kamtangaze rfa banaa. Unatoa na description, mumewe akikukontakti ujue umekwisha aka rip
 
Farida mwanamke mfanyabiashara Bankok/China!!!! Eleza yaliyokusibu mkubwa!!! Hawa wanawake wengine wanaoenda hiko Bankok mara Honkong mambo yao ni hatari!!!! Kama ulimgea tudola kako jua hutompata!! Tehe Tehe!!
 
ahsanteni waungwana ila mawazo yenu mlikopeleka siko kabisa,huyu dada anaitwa Farida Ombara naombeni msaada wenu si kunibeza jamani!
 
Back
Top Bottom