Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,459
- 4,748
hana ugaidi hata kidogo ulishamwona gaidi w namna ile semahuyu jamaa akili ndogo yaani imeniudhi tumepoteza polic bure kwa ujinga wake huyu jamaa yaani basi tu P.I.P POLICE mungu atawalipa mwenyewe ,jifikirie familia ya huyo police imempoteza baba kichwa wa familia na inakuta anategemewa kwelikweli then nakuja tuambia blablabala hapa agriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihuyu jamaa ni gaidi kweli kweli