Farasi

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
7,145
26,702
Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana.

Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya mahali au na bei tafadhali nijulishe.
 
Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom