Farasi 4 wanahitajika...

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Wawe na umri wa miaka 3 hadi 3.5, wale wa rangi ya brown, madume ambao hawajahasiwa wawili, na majike ambayo yana uzazi mawili, wakiwa wamepewa mafunzo na wazuri zaidi, wawe wanapatikana hapahapa Tanzania na recodi zao za matibabu ziwepo, ikiwa unafahamu, ama kujua mahali wanapouzwa na bei tafadhali ni Pm namna ya kuwapata. Best regards
:flypig:
 
Mkuu kama upo Arusha tembelea eneo la Shangarai uliza wazungu wafuga Farasi utaonyeshwa ila sijui kama wanauzwa.
 
Ukikosa kabisa chukua hata Punda!!
Kwa mbaaaaaliiiiii wanafanana fanana na Farasi!!
Wanaweza waka-save purpose(s)
 
Back
Top Bottom